tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ilani ya Taifa ya vijana katika Tanzania tuitakayo

    Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na propaganda inayoenezwa na wanasiasa, wafanya biashara na viongozi wengine wa serikali inayowakandamiza na kuwajaza hofu vijana wengi wa taifa hili ambazo kwa namna moja ama nyingine zimewakosesha uelekeo vijana wengi katika kupigania uhuru wao wamawazo na saa...
  2. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC04 "Madini Yetu, Ustawi Wetu?" The Future of Mining in Tanzania: A 10-Year Vision for Transformation

    Image: "Madini Yetu, Ustawi Wetu?" (Our Minerals, Our Prosperity?) I. Introduction: A Nation's Treasure, A People's Future Tanzania, a land of breathtaking beauty, possesses a treasure trove of natural resources. Glittering gold veins in Geita, dazzling diamonds in Mwadui, and vast reserves of...
  3. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya Teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) katika kilimo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Kuelekea Tanzania tuitakayo, Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
  4. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  5. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Ni kabila gani hapa Tanzania ambalo wanawake wa kabila husika wana Lips nene kama za wanawake wa Ki ivory coast ?

    Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ? Nataka kufaham tu, kama hulijui kabila Hii post ipite kama unazunguka Round about na pikipiki ya wizi.
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania TOA Tanzania yapata uwekezaji wa $30 Milioni kutoka BII za kupanua miundombinu ya mawasiliano na kuboresha huduma ya mawasiliano Tanzania

    ● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini ● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

    Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 13 vya magari, kati ya viwanda hivyo, viwanda...
  10. Kang

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunadaiwa zaidi ya Pound million mbili na jiji la London UK

    Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo hatujazilipa.
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inavyoweza kunufaika na Lugha ya Kiswahili kama raslimali nyingine

    Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza kunufaika na Lugha hii katika muktadha wa kiuchumi. Ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili tunaweza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaenda wapi? Tunahitaji wazee wa busara waoga au vijana ambao hawaeleweki?

    Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dunia yaipongeza Tanzania kwa mikakati iliyojiwekea ili kufikisha huduma ya Maji Vijijini

    TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tomorrow's wellbeing of Tanzania depends on today's support to Youth

    👉Here we go again raising voice to support the country by contribution of youth. 💡Among all age groups, youth is believed to be a better stage of bringing changes due to energy and fresh thinking capability. 💡Alot of job positions in different institutions both governmental and...
  15. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Safari katika barabara za Tanzania ni Changamoto

    Kwa kweli matrafiki ni wengi sana barabarani. Hawatoi elimu kuhusu matumizi ya barabara, lugha yao ni kupiga faini tu. Inachosha kwa kweli. Nimewahi kufanya safari ya usiku sikuona traffic hata mmoja. Lakini nilifika salama. Lakini mchana ni balaa. Mfano wanasimama na camera yao kwenye kibao...
  16. Mzee wa Kosmos

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu ya mawazo katika kuweka msingi na kujenga Tanzania ya baadaye

    Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo tumeyapata kutoka kwenye mazingira yetu kupitia milango ya akili. Mawazo tunayapata kwenye mazingira...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Wiki ya Ubunifu Tanzania toleo la kumi kuzinduliwa Kesho Ukumbi wa Mwalimu Nyerere

    Wiki ya Ubunifu Tanzania toleo la kumi kuzinduliwa Kesho 21 Mei 2024 Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Mkoani Dar es Salaam na Kilele chake kufanyikia Mkoani Tanga. Akiongea na Vyombo vya habari, leo tarehe 20 Mei 2024 Mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia...
  18. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Joke: Utajuaje hapa ni Tanzania?

    Ukiona hivi vitu basi jua upo Bongo Tanzania Tupia aina kibwagizo
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika kilimo cha matumizi ya teknolojia kunaweza kuwa kichocheo cha maendeleo makubwa ya kilimo Tanzania

    UTANGULIZI Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo, matumizi ya Teknolojia za Kilimo yanaweza kubadilisha hali hii na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Maono ya kibunifu katika nyanja ya afya kwa miaka 25 ijayo

    Utangulizi Tanzania inajivunia historia ya maendeleo katika sekta ya afya, lakini bado kuna changamoto zinazohitaji ubunifu na maono ya muda mrefu ili kuboresha hali ya afya ya wananchi. Maono haya yanajumuisha mipango ya kibunifu ambayo inaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25...
Back
Top Bottom