tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo wananchi wake hawapotezi muda barabarani hasa katika majiji makubwa kutokana na foleni

    UTANGULIZI. NB: picha kwa hisani ya mtandao Tatizo la foleni ni changamoto kubwa katika maeneo mengi ya mijini...
  2. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Development for the Tanzania tomorrow

    In the realm of education, stories play a vital role in driving positive change and shaping the development of a country. By focusing on innovative approaches, inclusive practices, and empowerment in the education sector, these narratives have the potential to inspire policy changes, mobilize...
  3. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Watanzania

    TANZANIA YA WATANZANIA UTANGULIZI Ili nchi yeyote iweze kuendelea ni lazima kuwe na ushirikiano baina ya serikali, jeshi na wananchi. Katika suala Zima la kuboresha uchumi, siasa na maendeleo ya jamii ni jukumu la kila mmoja katika jamii. Hivyo basi ili Tanzania iweze kufika mbali ki maendeleo...
  4. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo lazima tuweke misingi Bora na endelevu katika kilimo

    UTANGULIZI Tanzania tuitakayo lazima tuweke misingi Bora na endelevu katika kilimo. Hii ni sekta nyeti ambayo inamchango mkubwa katika uchumi wa nchi zaidi ya asilimia 25 na kuajiri nguvu kazi zaidi ya asilimia 75. Lakini sekta hii inachangamoto mbalimbali kama mabadiliko ya tabianchi...
  5. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

    Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta. Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania lazindua Mpango Mkakati wa 2024-2029

    Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja. Ni...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Barabara mbovu za Tanroads na ambazo hazina Lami na ziko kwenye uchumi mkubwa wa Nchi

    1. Kitunda (Tabora) - Rungwa - Kambi Katoto - Lupa tingatinga - Makongorosi (Chunya) 2. Rungwa - Kintanula - Itigi (Singida). 3. Mererani - Orkesmet - Kiteto (Manyara). 4. Geita - kwenda Kahama 5. Tarime kwenda Serengeti kupitia Mugumu. Cha kushangaza, serikali kwa miaka 60 ya uhuru, ina...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania

    Vodacom yaahidi kuwekeza zaidi katika maswala ya uvumbuzi Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Phillipe Besiimire Jijini...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vingine Tanzania walishangilia Usiku Kucha jana baada ya Kuingiziwa 'BOOM' lao kama walivyofanya wa UDOM?

    Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi. Kama hujasoma au...
  11. John Sule

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Mfumo wa kujulisha na utambuzi wa vitu vilivyopotea na kupatikana katika jamii zetu

    Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI. UTANGULIZI: Natumaini kundi kubwa la watu wengi wameshawahi kupotelewa na kitu fulani iwe kikubwa au kidigo kithamani, Muafaka au...
  12. emback

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tukitaka kuendelea tukubali ukweli mchungu na tuanze moja

    Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi. Tumeanguka katika nyanja nyingi lakini mie napenda niongelee moja au mbili, ambapo nitaanza na nyanja ya...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Tanzania, leo kama ukiwa Waziri wa Kilimo utafanya mambo gani mapya?

    Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika. Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa? Pia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto katika huduma kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania

    Katika jamii ya watanzania kuna makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji mbalimbali yanayotofautiana, hata hivyo zipo njia mbalimbali za kuwafikishia mahitaji watu hao katika makundi yao. Makundi ya walemavu wamekuwa wahanga wa kutopata huduma sitahiki katika jamii kwa maana ya kiuchumi...
  15. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye

    Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye yatakuja kuwa upande upi, labda huenda mtoto akawa daktari, rubani, mcheza soka au michezo miingine ya sasa inayoingizia vijana kipato. Mwanafunzi wa shule ya msingi anaposoma masomo zaidi...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  19. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya ulinzi na usalama Kwa upande wa Polisi wanapuuzia kigezo cha elimu wakati wa udahili

    Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu. Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
  20. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ilani ya Taifa ya vijana katika Tanzania tuitakayo

    Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na propaganda inayoenezwa na wanasiasa, wafanya biashara na viongozi wengine wa serikali inayowakandamiza na kuwajaza hofu vijana wengi wa taifa hili ambazo kwa namna moja ama nyingine zimewakosesha uelekeo vijana wengi katika kupigania uhuru wao wamawazo na saa...
Back
Top Bottom