tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. vibertz

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa shirikisho la soka Tanzania hivi mbona mnapenda kujiabisha waziwazi kila mmoja ajue mapungufu yenu?

    Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina. Tukio la kwanza ilikuwa ni kitendo cha kupeleka fainali ya kombe la CRDB federation cup Manyara. Tukio la pili ni kitendo cha...
  2. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
  3. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuelekea Maono ya Mabadiliko Chanya

    Utangulizi, Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, utamaduni na watu wenye bidii, inahitaji mabadiliko ya kimkakati ili kufikia mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Ni wakati wa kuhamasisha wananchi kuibua mawazo mbadala na bunifu yatakayosaidia kujenga Tanzania tunayoitaka. Andiko...
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Transforming Tanzania through ICT

    ᴍᴏᴅᴇʀᴀᴛᴏʀ ᴇɴᴛᴇʀꜱ ᴀ ᴍᴇᴇᴛɪɴɢ ʀᴏᴏᴍ , ᴇᴠᴇʀyᴏɴᴇ ɪꜱ ʀᴇᴀᴅy ;ᴀɴᴅ ᴛʜᴇ ᴍᴇᴇᴛɪɴɢ ʙᴇɢɪɴꜱ Moderator: Welcome, everyone, to this discussion on Transforming Tanzania through ICT. Let's start with the government representative. How is Tanzania currently leveraging ICT for economic growth? Government...
  5. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye ajira ya kutosha inawezekana

    Tanzania inaweza kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira Kwa asilimia mia Kwa wasomi mpka wasio wasomi. Vitu vifuatavyo vinaweza badili Tanzania iwe ni soko la ajira milele. Uvuvi.mikoa yote yenye bahari,maziwa Kwa wale vijana wanao penda uvuvi na wanao somea uvuvi wapewe elimu na vifaa vya kisasa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  7. Edson Eagle

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo miaka ya hivi karibuni

    Kwanza kabisa komasavaa wadau wote wa SOC 2024. Sauti tunazopaza katika makala hizi ziwe sauti zenye kuleta mabadriko kweli na zisiwe sautibubu zakuishia hapahapa jf. Mapendekezo yangu ni kama ifuatavyo kwa leo. Wajibu na haki: serikali kupitia wizara husika ihakikishe sasa inatoa...
  8. John Sule

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji katika umiliki/matumizi ya satelite nchini tanzania kwa manufaa ya taifa

    UTANGULIZI: (TAARIFA YA TCRA). 12 Mei 2024, mnamo majira ya saa tano asubuhi, kulikuwa na tatizo la upatikanaji wa huduma ya intanenti nchini. Taarifa za awali zimeonesha kuwa tatizo hilo lilisababishwa na hitilifu kwenye MKONGO WA MAWASILIANO WA BAHARINI wa kampuni za SEACOM na EASSY kati ya...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya vyoo Tanzania: Tatizo lipo vichwani na si mifukoni

    Siikumbuki jina la clip. Katika hiyo clip, Wazungu walikuwa wakijadili changamoto za Afrika, ambapo mmoja alionesha kushangazwa na tabia ya Mwafrika. Alisema kwamba Mwafrika anaweza akanunua simu ya gharama kubwa wakati choo hakina maji. Siyo Watanzania wote, lakini wengi wanaweza wakaangukia...
  10. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini nchini Msumbiji na kuiacha Tanzania na Rwanda dhidi ya kundi la kigaidi la Ansar al-Sunna kuna maana gani?

    Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Hii ni kutokana na siasa za Africa kusini zinazoshinikiza Africa kusini kutoa majeshi DRC pia kwene nchi nyingine kama...
  11. Edgar71

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile itakayokuwa na msingi ulio bora katika sekta mama ya elimu

    Kwa Tanzania ijayo Kuna marekebisho mengi ambayo yanaweza kufanyika katika sekta mama ya ya elimu hapa nchini Tanzania na ili kuboresha mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na ya hali ya juu kabisa, Baadhi ya maoni au mapendekezo au marekebisho hayo ni pamoja na...
  12. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo kwa Tanzania ya kesho kwa sekta ya Elimu na Afya

    Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
  13. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitamani: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo

    Tanzania yetu tunayoitamani ni nchi yenye ustawi, yenye umoja, na yenye uvumbuzi, ambapo kila raia ana fursa sawa za kutimiza uwezo wake kamili. Maono haya yanaweza kutekelezeka kupitia mkakati wa pamoja unaozingatia: Elimu na Ujuzi: • Kuwekeza katika elimu ya msingi, sekondari, na ya juu kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo cha Tanzania tukipe thamani ili kituvushe ng’ambo

    Katika nchi ya Tanzania aslimia 65.3 ya wananchi wake wanajihusisha na kilimo, hii tunaona kwamba ni kwa namna gani kilimo kina wafuasi wengi kupita kawaida haijalishi kwamba wengi wao hawanauwezo wa kujikwamua kwenda sekta nyingine, la hasha kilimo kinawapa mahitaji yao. Kulingana na maendeleo...
  15. guojr

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira na Uwezekano

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na utamaduni, imekuwa ikipiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia ndoto ya Tanzania tunayoitaka, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanapaswa kuzingatiwa. Makala hii itajadili masuala ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mfumo wa Elimu

    MWANZO Mfumo wa elimu uliopo hauandai mtoto wa kitanzania kwa ajili yakua hazina kwa taifa la kesho kutokana na mtaala uliopo. Mtaala huu hauna dira bora kwa ajili ya taifa tulitakalo kwasababu mtaala huu hauandai watu wenye ubora unaohitajika. MAPUNGUFU Elimu iliyopo ni ya nadharia kuliko...
  17. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Je Loliondo ni nchi ya Waarabu ndani ya nchi ya Tanzania?

    Mzuka? Katika mabishano ya hapa na pale kuna mshkaji akawa ananiambia Loliondo ilishanunuliwa na waarabu na hata ukiingia kwenye eneo wanaolimiliki mtandao unasoma nchi ya UAE. Kama haitoshi anasema mara ya mwisho kuwa huko kila akitoka nje ya Loliondo siku akirudi anatumiwa message na...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini wastaafu wa Tanzania hawawekezi kwenye sekta ya viwanda?

    Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na kusubiri hesabu ingawa baada ya muda wanapigwa na kitu kizito kichwani. Wengine wanawekeza kwenye kilimo...
  19. Edgar71

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kupitia sekta zake kufikia mwaka 2050

    Nchi ya Tanzania inaendelea kufanya juhudi kubwa tangu kupata kwake uhuru, inaendelea kupanua wigo na maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali za kijamii na ina matarajio ya kuendelea kufanya vizuri zaidi katika miaka ijayo hadi kufikia mwaka 2030.hivo bhasi hapa nitaelezea baadhi ya maeneo...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Sheria ya madai Tanzania inawapendelea matapeli?

    Kwenu wajuvi wa Sheria! Kwenye clip hapo chini ni malalamiko ya mtu anayedai kutapeliwa. Tukio lilitokea Arusha. Mlalamikaji aliuziwa shamba la ekari 2 kwa milioni hamsini na nne. Lakini alipotaka kuanza kulitumia shamba lake, alilikuta limeuzwa kwa mtu mwingine. Mtuhumiwa alifunguliwa kesi...
Back
Top Bottom