tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Sking zone

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ijayo

    Ili kifikia Tanzania tuitakayo yabidi yafuatayo yafanyike Kuboresha miundo mbinu vijijini na mijini kwa mfano Barbara, hospitari, na hata kwenye miundo mbinu ya uchumi wa nchi, na hii itawezeaha kuweka urahisi was usafirishaji wa malighafi kutoka shambani Hadi mijini kwenye viwanda, na hata...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kisiwa cha amani au makao ya waoga?

    Mijini na vijijini manung'uniko yametawala! Watumishi wa umma wanaonekana wana furaha lakini mioyoni wanaugulia maumivu! Hata tabasamu za wengine zinaweza zikawa na tafsiri tofauti. Labda ni kilio kilichopunguzwa makali! Watu wanalia lakini hawataki ijulikane kuwa wana majonzi! Ndivyo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

    Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

    Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Je, wanawake wa Tanzania wanaweza kupambania haki zao kama wanawake wa Kenya!?

    Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo. Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi...
  8. Akilibandia

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  9. Zakayo miho

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania izaliwe upya 2025

    Nimushukuru mwenyezi mungu Kwa kunipa afya njema nami niwakaribishe watanzania wenzangu katika #storyofchange na jamii forums. Kama ambavyo bendera yetu ikiwakilisha rangi zake nne blue(bahari na mito), nyeusi(watu), kijani(uoto) na njano(madini) .picha na wikipedia...
  10. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za Mifuko ya hifadhi ya jamii endelevu, na yenye maslahi kwa wafanyakazi!

    UTANGULIZI -Hifadhi ya mifuko ya jamii nchini Tanzania inajumuisha mifuko kadhaa ambayo inatoa huduma za kijamii na ya kifedha kwa wanachama wake. Mifuko hii inatoa huduma kama vile pensheni, bima ya afya, mikopo ya elimu na makazi, na msaada kwa wastaafu. Kusudi lao ni kuhakikisha usalama wa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo kwa Miaka 5-25 Ijayo

    1. Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili na urithi wa kitamaduni, ina nafasi kubwa ya kujiimarisha kiuchumi na kijamii katika miaka ijayo. Andiko hili linatoa mawazo bunifu juu ya jinsi Tanzania inavyoweza kufikia maendeleo endelevu kwa kuzingatia vipaumbele vya kiuchumi, elimu...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania 2025-2045: Kuunda Nchi Imara

    Tanzania tunayoitaka kwa miaka 5 mpaka 25 ijayo ni nchi yenye maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa, ambayo inawapa raia wake fursa za maisha bora na matumaini ya baadaye yenye mafanikio. Katika kipindi hiki, tunahitaji kuweka mikakati na mipango madhubuti ambayo itahakikisha kwamba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 The future of females of Tanzania: Full packaging and equipped with tools

    Despite women breaking barriers in science, technology, engineering, and mathematics (STEM) occupations and some overcoming obstacles in leadership roles, the transformation of the gender landscape in the workplace remains somewhat limited. Gender imbalances across occupations and sectors...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Je, GenZ wa Tanzania wanaweza kusimama kidete kama wenzao wa Kenya?

    Bila shaka ni ukweli usiopingika kuwa maandamano dhidi ya serikali ni ya kwanza ya aina yake nchini Kenya. Kwa nini? Maandamano ya kupinga mswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024 hayakuongozwa na Mwanasiasa yoyote Wala Chama chochote cha kisiasa; bali yaliratibiwa na vijana hasa wa kizazi Z kwa...
  16. JF Summary

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga: Mkataba mpya wa safari za moja kwa moja za ndege kati ya Urusi na Tanzania wasainiwa

    Kurugenzi ya vyombo vya habari ya Wizara ya Usafiri ya Urusi iliripoti Jumatano kwamba mkataba wa usafiri wa anga umesainiwa na Tanzania. Naibu Waziri wa Usafiri wa Urusi, Vladimir Poteshkin na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Fredrick Ibrahim Kibuta walihitimisha mpango huo, ambao utasaidia...
  17. JF Summary

    JamiiForums Tanzania Air Traffic Boost: New transport agreement enhances flight connections between Russia and Tanzania

    On Wednesday, the Russian Ministry of Transport press reported that an air transport agreement had been signed with Tanzania. Russian Deputy Minister of Transport Vladimir Poteshkin and Tanzanian Ambassador to Russia Fredrick Ibrahim Kibuta concluded the arrangement in a show of strong...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Balozi za Tanzania kutakiwa kuwa na makazi ya kudumu na siyo kulipa kodi ni sawa?

    Kwa safu ya mama aliyopo nayo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa bungeni na wananchi kiujumla kuhusu ufisadi na utendaji wao kwenye wizara. Nilimsikia waziri January Makamba kuhusu balozi zetu zilizopo zimekuwa zikighalimu pesa kwa ajili ya kupangisha eneo kwa ajili ya balozi zetu. Wazo la...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

    Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake, Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania IMF yaidhinisha ufadhili wa Dola Milioni 900 kwa Tanzania kwa ajili ya Bajeti na kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya Hewa

    Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi. Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi...
Back
Top Bottom