tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. davetz 23

    JamiiForums Tanzania Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda mnawezaje kula Mdudu (Kitimoto) cha hapa kisicho la ladha kama ya kwetu Tanzania?

    Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tembeeni muone wanawake wazuri sio hapa Tanzania wanatuliza kwa kujiona wao wazuri

    Fanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku. Kuna haka kisiwa cha cyprus yani unaweza kubaki huko huko kama mtu wa totozi. twende urusi huko yani na baridi la kule unaitwa hot man...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je, Tanganyika inahitaji kiongozi kama huyu? Kapunguza mishahara ya Mawaziri 30% na kaongeza ya Wafanyakazi 50%

  5. W

    JamiiForums Tanzania How enhancement of regional security cooperation crucial for Tanzania

    Opinion: How enhancement of regional security cooperation crucial for Tanzania China continues to align with Iran and Russia participating again this year in the maritime security belt exercise off Iran’s coast. This alliance raises the question of who exactly the PRC is protecting in the Red...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why Tanzania is Constructing The Longest SGR Railway in Africa

    Wakenya Tazameni mzigo huo. https://youtu.be/_FanqniVtDU?si=SkAADV35PT1FZ7ma
  7. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetajwa katika nafasi ya 12 kwenye Ripoti ya Viashiria vya Demokrasia Barani Afrika

    Ripoti inaonyesha kuwa Kiashiria cha Demokrasia nchini Kenya kinaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa miaka minne mfululizo kutokana na alama duni kwenye mchakato wa uchaguzi na wingi wa vyama, uhuru wa raia, na utendaji wa serikali. Ripoti ya Kiashiria cha Demokrasia 2023 kutoka Economist...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kukamatwa kwa Mwandishi Dickson Ng'hily na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, yasema mwandishi hakupigwa wala kuvunjiwa simu yake

    Wakuu, Haya maelezo yanatishia mashaka, kwamba wanafunzi hawakai chini ila walikuwa wanafanya masahihisho ya mitihani, tena chini ya mti, kama vyumba vinawatosha kwanini wasifanyie hayo darasani? Hapa panatia mashaka. Ila pia mnataka kutuambia kuwa THRDC walikurupuka, kwamba hawakuwa na...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Shairi: Tanzania imebadilka tuna imani na mama lakini ccm sijui kama tutaipigia kura kijani

    We Mama Njoo Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika Tanzania Ya Leo Oooh! Imejengwa Imejengeka Pita Ubungo Tazara Za Juu Barabara Tayari Zinatumika Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage Karibu Inakamilikaa! Tanzania Ya Sasa Mama Aii Mama! Ya Magufuli Mama Aii Mama! Ina Wakawaka Mama Aii Mama! Inapendeza...
  10. Brex2

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kuwa Mwafrika, kitu gani kingine unakichukia?

    Habari za humu wana JF, Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi imelaaniwa. Binafsi nakubaliana nao Kwa uafrika nina uchukia ila sio ngozi yeyote nyeusi imelaaniwa...
  11. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

    Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  13. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TAKWIMU ZA KAYA ZENYE VYOO NCHINI

    Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022.
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Simba SC yakaribia kumaliza kusuka upya kikosi chake

    Huu ususi mpya uliofanywa na Simba sijui tuuitaje, wasusi kina Kalpana na maras tulionao humu watatusaidia ila ni wazi hii ni Simba brand new tunaenda kuiona. Misimu miwili iliyopita niliwahusia viongozi wa Simba waanze mchakato wa kuisuka upya kikosi cha Simba ili baada ya misimu mitatu, tuwe...
  16. Kessy jr

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

    Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine. Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za ufungyna Fainali ndio hufuatiliwa zaidi na ndio Zina faida kiuchumi,Sasa iweje mechi zote 2...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania lacks organized and vibrant opposition

    that has completely no capability to check, advice and criticize the sitting government with alternative strategies and plans.. what can be done so that able, visionary and meaningful opposition in Tanzania be born?
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tanzania Railway Cooperation (TRC) wanahitaji Electrical Tech II na Mechanical Tech II.

    Wakuu. Jana Tar 05 July wametangaza hizo nafasi. Waliosoma Diploma ya izo kozi mapambano yaendelee.
  20. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
Back
Top Bottom