tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania My vision for Tanzania High Speed Railways ipite uku kote

  2. JamiiForums Tanzania Tanzania Religious figures

    Tanzania Religious figures Tanganyika 85% Pagan/ Non Religious/ Atheist 7.4% Christian 5.2% Islam 1.5% Hinduism 0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions Zanzibar 84% Islam 9% Christianity 5% Hinduism 2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
  3. JamiiForums Tanzania Hiki 'Kijembe' cha maana Ali Kiba kamtupia nani hapa Tanzania?

    "Nasikia P Diddy ana Mafuta mengi na Kitanda Kikubwa" Mnaojua masuala ya Vijembe tafadhalini tusaidieni pia Sisi tusiojua ili tuweze Kuelewa ni nani amelengwa hasa hapa.
  4. JamiiForums Tanzania Je huu mkakati wa kusambaza mitungi ya gas ya LPG sio mpango wa kuhujumu matumizi ya gas ya NPG inayopatikana Tanzania?

    Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
  5. JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    WARAKA WA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN. Mheshimiwa Rais Awali ya yote ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Rais kupitia kipande hiki cha maandishi napenda kuongea na wewe mambo machache yanayolikumba taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu achagiza Wafanyabishara wa Anjouan kuagiza bidhaa Tanzania

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amekutana na Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kisiwa cha Anjouan na ujumbe wake na kuwahimiza kuzidisha uagizaji wa bidhaa toka Tanzania kwa kuzingatia ukaribu wa kijiografia na uhusiano wa kihistoria uliopo. Balozi Yakubu ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania Deni la Serikali ya Tanzania Lafikia Trilioni 98

    Ripoti ya mwezi ya Benki ya Tanzania inaonesha mpaka Julai 2024, deni la serikali lilifikia Trilioni 98.5 huku asilimia 67 ya deni hilo likiwa ni deni la nje sawa na dola za kimarekani Bilioni 24.69, ambazo ni Trilioni 66 za Kitanzania Sekta iliyopokea mikopo mingi ni usafirishaji na...
  8. JamiiForums Tanzania BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania: Haki za Binadamu zinapozingatiwa amani inaendelea kustawi katika Jamii zetu

    Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini. Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania ogopeni dhambi za sirini

    Luka 12:2 Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana. Mnadhulumu haki za watu, mnauwa kwa ujambazi, kwa visirani, ugomvi wa kisiasa na sababu mbalimbali. Jueni hakika kwamba, yupo Mungu aonaye sirini, mnafanya mkiwa mmejificha, mnafikiri...
  11. JamiiForums Tanzania Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

    Wakuu, Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa; Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
  13. JamiiForums Tanzania Tigo na makampuni mengine ya simu njooni mjibu tuhuma hizi kabla hatujawakimbia

    Kuna madai yaliyo tolewa huko London mahakamani kwamba Tigo muliwapa watu fulani data za kumfuatilia Tundu Lissu. Mbona mmekaa fofofo hadi sasa hamseki kitu? Mpaka sasa hamja kanusha kwamba ni ya uongo- kama ilivyo lipotiwa: Firm disclosed phone data of shot Tanzanian politician, UK tribunal...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Tanzania katika Michezo ya Olympic: Mpango wa Miaka mitano.

    Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter. Katika michezo hii toka mwaka 1964...
  15. JamiiForums Tanzania Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda kuna hila kuigeuza Congo mashariki kwa ghasia ili wavune maliasili.

    Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale tunaojua nchi za magharibi wameazimia nchi za Afrika lazima wasiweze kuendelea kwa kutumia maliasili...
  17. JamiiForums Tanzania Namna bora kama Tanzania kuwawezesha watoto wetu kupata elimu bora zaidi kupitia ushirikiano na serikali za nchi rafiki

    Hakuna ambaye hapendi kuona mtoto au kijana wake akipata maarifa bora na elimu ambayo mwisho wa siku itamsaidia katika maisha yake. Elimu ambayo inakwenda kumuinua zaidi mtoto na kumfanya awe msaada kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla. Ni jambo zuri sana ukimuona mtoto wako akitumia maarifa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kila kitu Zanzibar now. Mchezo wa Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba kuchezwa huko

    Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka. Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe. Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao. Hayo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  20. JamiiForums Tanzania Makabila wanayokula karibu wananyama wote nchini

    Naanza na mmakonde hawa jamaa ni kama Wachina Tu hawali Kinyonga tu hicho kimewashinda. Ila Mzoga wowote akiokota lazima uingie tumboni. Wahadzabe, hawa jamaa ni hatari porini hadi nyoka akiwaona anatafuta shimo la kuingia hawaachi kitu. Wasafwa wa Mbeya wanakula karibu kila nyama ila kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…