tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Viwanda vya kuunda mabasi vilazimishwe kuzalishia mabasi Tanzania

    1. Kama mnavyojua sekta ya USAFIRISHAJI imekua kwa kiasi kikubwa. Lakini la kusikitisha mabasi yaliyo Mengi huagizwa China, Brazil na Kenya. 2. Je haiwezekani kuwalazimisha wenye viwanda hivyo kujenga "Assembly plant" nchini kuongeza ajira, Kodi na ukuzaji/urithishaji teknolojia/maarifa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

    Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema. Ni dhahiri, hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
  4. JamiiForums Tanzania Graduating from Aid Dependency is an UphiIl Battle. Is Tanzania Poised to Become the Next Success Story Among the Beggar Nations?

    The question of whether a nation heavily reliant on external aid (“beggar nation”) can graduate from such dependency is complex. It requires a multi-dimensional analysis incorporating economic, political, and social factors. Below, I’ll address this question with a specific focus on Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba). 3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
  6. JamiiForums Tanzania Google wanasingiziwa, ramani zao hazioneshi Ziwa Nyasa lote kumilikiwa na Malawi ila Tanzania inatakiwa kukomaa na eneo lake la mpaka wa ziwa

    Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi. Ukweli ni kwamba ramani zote za Google (map & earth) hazioneshi hivyo. Mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Malawi na...
  7. JamiiForums Tanzania DTG printing in Tanzania

    Ni kwamba Tanzania nzima hakuna watu wanaotoa huduma ya DTG(Direct To Garment) Printin?
  8. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

    Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbuni, Tausi na Kasuku hatufugi Kwa wingi hapa Tanzania?

    Mimi ni mdau wa kilimo na Ufugaji na ninapenda kutoka moyoni kabisa. Katika Hali inayonipa maswali mengi ni hili swala ufugaji wa Ndege kama Tausi Mbuni na Kasuku. Huwa napenda kujifunza bila ukomo hasa kupitia mitandao ya kijamii. Ukiingia mjini YouTube uka search Ufugaji wa Tausi Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kutoka kwa Suleiman Said Bungara (Bwege) kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan

    Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
  12. JamiiForums Tanzania Gissima Nyamo-Hanga: Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
  13. JamiiForums Tanzania Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment kwa Vyama na Wagombea?

    Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
  14. JamiiForums Tanzania Niliwaambia kuwa ili Tanzania ipate maendeleo mpaka kizazi cha 1940-1989 kiwe hakipo tena .

    Kizazi cha 1940-1989 hiki ndo kizazi cha hovyo kuwahi kutokea. Utawakuta akina Lipumba Mbowe Dr slaa Mkwele Jiwe Chenge Makonda Kiufupi kizazi kitakacholeta mapinduzi ni hiki cha 1990s Umu ndo kuna wanamapinduzi wa kweli akina soka n.k
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania kazi yao ni kudandia kwenye migongo ya vyama vya siasa.

    Wepesi sana kulaumu vyama vya siasa vinapofanya makosa huku wao wakijificha nyuma ya laptop. Dada wa Taifa alijaribu kuandaa maandamano akiwa ughaibuni lkn nayo hayakufanikiwa kwa sababu alitegemea Chadema wajitokeze, kwanini wanaharakati hamkujitokeza kumuunga mkono mwenzenu. Maria Sarungi...
  16. JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

    Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela. Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaosema CCM wataendelea kushinda chaguzi kwa sababu ya Mbowe, ni lini uchaguzi huru umefanyika Tanzania

    Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano! Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mkomavu katika siasa za Tanzania ni mtu wa kuigwa ni kijana wa Mbowe ameanzisha chama amestaafu mbowe Bado yupo

    Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia. Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri mdogo zaidi. Navutiwa na siasa zake japo akina freeman walijaribu kuizima hii nyota ikashindikana...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Sikiliza wimbo unaohusu Tanzania nilioutengeneza kwa kutumia AI tupu ikiwemo Chagpt

    Technology imekuwa sana na mimi napenda kuchunguza vitu vinavyohusiana nayo. Hizo nyimbo nilizopaste hapa nimezitengeneza kwa kutumia AI tupu kuanzia lyrics, beat, na vocals Lyrics zimeandikwa na chat gpt ambapo ninaipatia prompt ya topic, na mistari iwe na urefu gani, chorus ihusishe nini...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…