tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  2. Miki123

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Marais wa Tanzania kwa kuangalia ukuaji wa uchumi kwenye miaka mitano ya mwanzo (GDP per capita)

    Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili) 1. Rais Benjamin William Mkapa Kati ya mwaka...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mgeni akiingia Tanzania kwa sasa atajua Chadema ni Chama Tawala na Tundu Lissu ndiye Rais

    Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana. Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅 Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu. Kampeni zote zina reflect...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

    Wanabodi heshima mbele. Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya. Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania - Somalia zasaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano

    TANZANIA - SOMALI ZA ZASAINI HATI NNE ZA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano katika mkutano uliofanyika jijini Mogadishu leo tarehe 19 Disemba, 2024 chini ya uenyekiti wa Waziri wa...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwenye Mgahawa huu angekuja kuwekeza hapa Tanzania

    Huu mgahawa upo japani ni special kwa wavivu tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Gibson: Starlink Tanzania haina uhusiano na Starlink Satellite

    Kampuni ya burudani na masoko ya Starlink Tanzania Limited imekanusha vikali uwapo wa uhusiano wowote na Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayotoa huduma ya intaneti inayomilikiwa na SpaceX. Starlink Tanzania Ltd ilisajiliwa Aprili, 2019 na kumilikiwa kikamilifu na Watanzania...
  8. toriyama

    JamiiForums Tanzania nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

    nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini? Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
  9. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hata wageni wameshajua kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi kwa mazingaombwe

    Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo watu wanaishi kwa mazingaombwe. Miujiza inayokuwa claimed kufanywa na hawa wachungaji ni mazingaombwe ambayo yako formalised na hakuna tofauti na yale ya akina mwanamarundi au power mabula. Ndo mana hata akina prince dube au ateba nao wameenda kitafuta...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kitaifa chadema unadhihirisha jinsi gani wana chadema na watanzania wengine wasivyotamani kuona ukoloni mambo leo ukirejea Tanzania

    Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa. Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
  12. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania hazitabiriki, Kwa mara ya kwanza Mbowe anaingia katika uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kama underdog

    Pole Sana Mh Mbowe na hongera Sana , sikutegmea Kama ungeingia katika uchaguzi huu wa mwenyekiti Taifa Kama Underdog Yericko Nyerere achana na kuafanya ibadi zisizo eleweka maana dua za mizimu yako haifanyi Kazi tena. Lucas Mwashambwa pole Sana na utaratibu wenu wa nusu mkate unaenda kukomeshwa
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Benard Morison ameisha pata Uraia wa Tanzania? Wabongo tupunguze kushobokea mno foreigners

    Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani. Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule keao wanaweza mshobokea zaidi ya Tanzania, na sujui ndio kapewa na uraia mimi sijui. All in all...
  14. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

    Maneno Hayo Ameyasema Aliyekuwa Kiongozi wa Kanda ya Kaskazini Mheshimiwa Godbless lema.. Baada ya Kuandila Barua Katika Ukurasa wa Twitter Yenye Messeji kali Sana na Ya Kuhuzunisha na Ikionyesha Kuna TATIZO KUBWA kwenye Chama.. NANUKUU:- Amani Katibu wetu wa Kanda , naomba nisomee ujumbe huu...
  15. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atagombea uenyekiti , naachana na kufatilia siasa za Tanzania.

    Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu. Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa wakati wa CHADEMA kuiteka mioyo ya Watanzania kipekee na kujisikima kuwa chama cha kipekee kabisa Tanzania!

    Ukweli ni kuwa CCM ipo ilipo kwa sababu ya vyombo vya dola. Na endapo leo hii vyombo hivi vikisema hatuiungi mkono tena CCM huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kuongoza Tanzania. Kwa upande wa vyama mbadala ni chama kimoja tu ambacho kwa muda mrefu sasa kimeweza kuonekana kuwa ndo mbadala sahihi wa...
  17. feyzal

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Tanzania kuna sehemu inaongoza kukatika katikaumeme kama mikwambe?

    Habari ndugu zangu,bila shaka wazima. Niende kwenye bandiko la swali langu, TANESCO hivi mnajua kua mna boa sana? Haiwezekani kwa siku mnakata umeme zaidi ya mara 30 mnataka kuunguza vitu ama vipi?. Wakuu nilikuja mikwambe Jumanne kuna kaka yangu ana umwa nikawa nimekuja kupoa nae ,ajabu sana...
  18. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Watu kama Tundu Lissu hutokea mara chache sana Duniani. Tanzania imlinde ni Hazina ya Taifa

    Kidumu Chama cha mapinduzi. Nimeanza na salamu mapema ili ujumbe ufike vizuri kwa watu wote. Lissu ame na atasaidia sana Chama changu cha Mapinduzi. Ni kama kioo. Anahitajika mtu kama Lissu kuliko tunavyodhani. Ili nchi iendelee walitakiwa akina Lissu hata 5 tu tungekuwa sehemu flani pa...
  19. excel

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kwa story za kuchangamsha genge tunaikaribia Kenya lakini kiuhalisia tumepigwa kanzu, Tulichowazidi labda ni muziki na mpira

    Balance of trade - Thamani ya pesa ya bidhaa zinazonunuliwa kutoka Kenya ni kubwa kuliko bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Kwa upeo mdogo wa kielimu watanzania wengi tumekomalia kwenye kuwauzia Mahindi lakini ukichunguza vizuri hapa kwetu kuna bidhaa nyingi sana za Kenya kuanzia kiwi...
Back
Top Bottom