tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Unajua kuwa Tanzania Haina Admiral wa Navy?

    Kijeshi, Admiral wa Navy ni cheo sawa na General wa Army. Muundo wetu sasa hivi unataka kuwepo na General mmoja tu kwenye TPDF ambaye ndiye CDF. Hiyo inakinzana sana na muundo wa jeshi zima, kwani vyeo vya Navy viko juu sana ya vyeo vya Army. Kwa mfano Captain wa Army ni sawa Lieutnant wa Navy...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kagunga Kasekese Tanganyika Tanzania

    Kijiji cha Kagunga Kata ya Kasekese Wilaya ya Tanganyika 50211 WAKULIMA WAANGUA KILIO KWA RAIS SAMIA WAFYEKEWA MAHINDI YALIYOZAA https://m.youtube.com/watch?v=__MWE5flqWo Wananchi walia kunyanyaswa wapigwa, wabebeshwa matofali kijiji cha Kagunga, kata ya Kasekese Tanganyika. Fidia bado...
  3. murthehelp

    JamiiForums Tanzania BRT Tanzania (Mwendokasi)

    Mageti ya scanning kwaajili ya kadi ni bora zaidi kuliko kutumia paper tickets? Nataka nijue changamoto za Mwendokasi na nini kinapelekea kuwepo kwa huduma mbili kwa wakati mmoja, Paper tickets na Card ? Unadhani mradi unaweza tumia scanning mashine pekee ili kuomdoa shida ya usafiri ?
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa kuna askari wa Tanzania wanaosaidia serikali habithi ya William Ruto kuwateka wakenya kama walivyozoea kufanya Tanzania?

    Kuna habari kuwa Gen Z wa Kenya wana mpango wa kukinukisha tena. Katika kusikiliza habari baada ya kutekwa kwa mchoraji vibonzo vinavyompinga Ruto aitwaye Kibet Bull, wamesema kuna watekaji toka nchi jirani. Kumbuka. Wakati wa maandamano ya Gen Z kulizuka shutuma kuwa askari polisi wa Tanzania...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mpira wa Miguu Tanzania: Uhitaji wa Tafsiri ya Lugha ya Ishara kwa Watu Wenye Ulemavu wa Kusikia

    Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inatangazwa kupitia AzamTV, ikiwahudumia mashabiki wengi wa mchezo huu. Mechi kubwa kama vile Simba dhidi ya Yanga pamoja na na michezo ya kimataifa huvutia sana umati mkubwa na kutoa burudani ya kipekee. Hata hivyo, watu wenye ulemavu wa kusikia wananyimwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

    Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania 1.UCSAF 2.TPDC 3.TCRA 4.TASAC 5.LATRA 6.PSSF 7.EWURA 8.REA 9.TANAPA 10.TBA
  7. Bezecky

    JamiiForums Tanzania Mdude: Lissu, Heche, Lema ni wapinzani wa kweli Tanzania. Nilipokuwa Polisi Oysterbay baada ya mateso makali nikasikia mahabusu wanaimba Lissu! Lissu!

    𝐓𝐮𝐧𝐝𝐮 𝐋𝐢𝐬𝐬𝐮, 𝐉𝐨𝐡𝐧 𝐇𝐞𝐜𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐋𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐭𝐮𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨. Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  10. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kwa Hapa Tanzania, ukikosa kazi kabisa sio lazima ukabebe tofali au kazi za ujenzi, Nenda kijijini kalime.

    Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki. Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu. Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini umeme unaendelea kukatika hata baada ya bwawa kubwa na gesi nyingi Tanzania?

    Wengi Tanzania, East Africa, SADC, Africa na Dunia nzima tuliamini Tanzania imejiunga na mataifa yenye umeme mwingi wa uhakika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuwa kuwa na kiasi kikubwa cha gesi, lakini wapi bwana shida Iko palepale na vilevile. Umeme unaendelea kukatika...
  12. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Knock out ya mama: bondia wa Tanzania ameshinda.

    Lakini I am not very impressed. Raundi ya mwisho ilibidi refa apumzike nukta chache kumuuliza bondia wa Tanzania kama anataka kuendelea
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  15. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mpya inakuja chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu Wakili Msomi na mpinga Rushwa Tanzania

    Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita. Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana. Upinzani ukiwa imara siku...
  16. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Mzee makongoro nyerere ndieo mwanasiasa pekee Tanzania ninaeweza kufuatilia hotuba zake bila kuchoka

    Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tanzania si kwamba hatuna Viongozi wa Upinzani, bali hatuna raia wenye idelogies za kiupinzani. Tuna street na 'keyboard warriors' wengi sana

    Ukikaa na Watanzania utagundua ni watu waoga sana, ni watu wanao taka wasemewe yaani watetewe wakiwa wamekaa raha mustarehe. Watanzania wanataka wapiganiwe sio watoke front line hapana wapiganiwe wao waki wamelala au wako kwenye keybord. Ni Tanzania ndio wageni wanakuja kutunyanyasa ndani ya...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho chama kilicholeta Uhuru wa Tanganyika December 9, 1961 kwa hali ya utulivu bila kumwaga damu kipindi...
  19. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya kuunda mabasi vilazimishwe kuzalishia mabasi Tanzania

    1. Kama mnavyojua sekta ya USAFIRISHAJI imekua kwa kiasi kikubwa. Lakini la kusikitisha mabasi yaliyo Mengi huagizwa China, Brazil na Kenya. 2. Je haiwezekani kuwalazimisha wenye viwanda hivyo kujenga "Assembly plant" nchini kuongeza ajira, Kodi na ukuzaji/urithishaji teknolojia/maarifa kwa...
  20. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
Back
Top Bottom