tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanganyika yaitwa Tanzania Bara Azam tv!

    Nimeumia sana kuona Zanzibar ipo ila Tanganyika imebatizwa jina la ajabu eti Tanzania Bara!!!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kama yote alioyaandika Kabendera ni ya kweli jambo zito lipo mbele ya jamuhuri ya Tanzania

    Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi. Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa sana japo sishangai kwa maana kwa wale tuliona mbali tulijuwa kijana anacheza na moto wa makaa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  4. JamiiForums Tanzania Balozi wa Japan nchini Tanzania ameipongeza TRA kwa kufanya makusanyo makubwa ya kodi kistarabu

    Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake. Katika...
  5. JamiiForums Tanzania hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  6. JamiiForums Tanzania Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  7. JamiiForums Tanzania Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

    Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
  8. JamiiForums Tanzania Hukajawahi kuwa na vita vya uchumi Tanzania, Historia iwekwe sawa

    Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi...
  9. JamiiForums Tanzania Where is Tanzania, Ninasikia Harufu

    Karibu kwenye maandalizi ya sherehe, malaika wa bwana ameanza kupasha habari kwa watumishi Safari ilikuwa ni ndefu na ya kuchosha lakini kwa hapa tulipofika nisisite kusema ni haki malaika kupaa angani wakiwa wanashangilia kwani ushindi umeonekana mbele ya macho yao Ile ahadi ya bwana mungu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Inapaswa Kujiondoa kama mwenyeji wa Afcon 2027

    Mwaka 2027, Tanzania, Uganda, na Kenya zitakuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon). Hata hivyo, maandalizi ya mashindano haya bado ni hafifu, na hadi sasa hakuna viwanja vya kiwango cha kimataifa vya kutosha kwa ajili ya mashindano makubwa haya. Katika hali hii, Shirikisho la...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

    Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia balozi zake kukuza mchezo wa ngumi kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili kuzifikia fursa za Kimataifa zilizopo katika mchezo wa Ngumi na kuwezesha mchezo huo kukua Kimataifa...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

  15. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni nchi ya hatari kama Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore ilivyoeleza?

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni tofauti ni iliovelezwa na Wizara ya mambo ya nje ya Singapore. Unaweza kujisomea hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania huwa wepesi kuamini uzushi

    Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje. Wanasiasa wanaocheza siasa za...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania hatujawahi kuwa na Marais au Mawaziri ambao kabla ya madaraka waliwahi kuendesha mradi wowote na wakafanikiwa

    Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa. Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu. Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini kampuni za Kikenya ni nyingi nchini Tanzania kuzidi kampuni za Kitanzania nchini Kenya.

    Sababu ni mchango wa Serikali? Ni jitihada za raia wenyewe?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano thabiti kati ya Tanzania na China wafungua milango ya ushirikiano wa kina

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…