tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Profesa Elgidius Ichumbaki: Tanzania tumefika hapa tulipo kwa sababu tumekuwa wazito kutoa maoni

    Akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa la Demokrasia Tanzania, leo Julai 09, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDASA, Profesa Ichumbaki ameeleza kuwa mkwamo uliopo Tanzania ni kwa sababu ya watu kuacha kutoa maoni.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo wewe una mianya mingi ya kupata hela, hivyo lazima uone Tanzania hakuna shida yoyote

    Unaona vijisenti toka EU ni takataka kwa vile wewe you can afford anything on earth. Lakini kwa mwenye dialysis ambayo say ilikuwa inakuwa supplemented na EU funds katika afya analia na kusaga meno kukosa fedha hiyo ( nimetolea mfano dialysis , but this applies katika scenario nyingi za aina hiyo)
  3. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Kombo azungumza na Watumishi Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa

    Balozi Kombo azungumza na Watumishi Ubalozi wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na watumishi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Kombo aliwasihi watumishi hao kuendelea...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Bima ya Afya kwa wote inashindikana Tanzania!!

    Habarini, Kwanini lakini kitu cha muhimu kama hiki hakitiliwi maanani? Watu wanapanga kuandamana kwaajili ya masilahi ya wanasiasa badala ya maandamano kwaajili ya BIMA YA AFYA KWA WOTE kwani ndiyo shida ya Watanzania walio wengi. Ni bora wapinzani mkawekeza kwenye matatizo ya wananchi siyo...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania and Kenya launch coordinated crackdown on planned Saba Saba protests

    Hivi kumbe yaweza kuwa kweli kwamba hawa watu, muuaji Samia na mwenzake Ruto walipanga eh? https://youtu.be/UJ7hJiNslRc?is=S2Mwdwyd127bO9AX
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri Millya atembelea ubalozi waTanzania nchini Burundi

    NAIBU WAZIRI MILLYA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.), ameambatana na ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioshiriki katika Maadhimisho...
  7. B

    JamiiForums Tanzania African Rainbow Capital yashinda uamuzi wa mahakama kuhusu uchimbaji madini wa Tanzania

    08 July 2026 Mahakama Kuu Gauteng Johannesburg, Republic of South Africa African Rainbow Capital yashinda uamuzi wa mahakama kuhusu uchimbaji madini wa Tanzania dhidi ya Washirika wa Pula Graphite Makala : Uchimbaji madini Mwenyekiti na mwanzilishi wa African Rainbow Capital (ARC), Patrice...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli Makonda ndiye ameamua kumchagua Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania?

    Nimeona taarifa za malalamiko toka Z'bar. Nimeona tena taarifa ya maandishi toka kwa mjumbe wa Bara. Wote wanasema Mshindi wa nafasi alikuwa Antony Mtaka, badala yake kapewa mtu aliyepata kura moja, kwa amri ya Makonda. Nasema hivi kama tumefikia hatua hii, kwamba tuna mawaziri hovyo kiasi hiki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Serikali ya Tanzania imepoteza mabilioni ya pesa kwa watu kutokufanya kazi Julai 7, 2026

  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna police force na kwanini? Hatuna police service

    L/G Hii inatokana na Nini? Na sitaki kuamini ni Africa nzima tupo hivi ila ningependa niwasilishe hii Kwa nchi hii pendwa ya Tanzania Kwanini? Ni police force na sio police service, unakuta police anaogopwa na raia hata akihitaji ushirikiano na wananchi wanaweza wakamuhepuka Kwa kuogopa...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania inatukera watanzania

    Mahakama ya Tanzania ni mali ya watanzania inayohudumiwa na watanzania wote kwa manufaa ya watanzania wote kama ilivyo kwa Serikali na Bunge. Serikali, Bunge na mahakama ni mihimili ambayo lazima ionekane ikifanyakazi ya kulinda usatawi wa watanzania na mali za watanzania wote kama taifa kabla...
  13. JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye amani, hitaji la kila mmoja wetu

    Kuna maumivu ambayo hayaponi kwa dawa yanabaki kuishi kwenye kumbukumbu za wale waliopitia mateso yake. Oktoba 29 iliacha simulizi ambayo wengi hawataisahau, Ilikuwa siku ambazo vilio vilizidi tabasamu, hofu ikazidi matumaini, na ukimya ukazidi sauti za biashara zilizokuwa zimezoeleka kila...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Taswira ya Kisiasa ya Tanzania Inawafukuza Wawekezaji Wakubwa?

    Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa: Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala. CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
  16. JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna maandamano haramu yatayokafanikiwa tena Tanzania

    Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania. Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu miundombinu, makazi au ofisi za umma, kumuumiza au kumuua mTanzania mwingine kwa niaba, faida au manufaa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Sisi ndio mabingwa wa elimu bora Tanzania ,usisubirie kusimuliwa tupe mtoto wako leo uwe shuhuda wetu

    Mafanikio ya mtoto wako yanaanzia hapa! Tunatoa huduma bora za Home Tuition kwa wanafunzi wa ngazi zote (One hadi Six) pamoja na wanaoanza kabisa (Beginners). Tunafundisha: ✅ Mitaala yote ya shule ✅ Kiswahili ✅ Lugha za kigeni mbalimbali kwa wanafunzi wanaotaka kujifunza lugha mpya, mfano: 🇬🇧...
  19. JamiiForums Tanzania TANZANIA NI SHWARI

    Saba Saba leo inahitaji amani si machafuko. Maria Sarungi, Mange Kimambi na genge lao wanajaribu kuwatumia vijana kuleta jeraha katika taifa la.Tanzania. Machafuko kama yale ya Oktoba yalituonyesha madhara mengi mno na basi kutojiunga ni kulinda familia yako na nchi yetu tuipendayo. Uzalendo ni...
  20. JamiiForums Tanzania M7/7 Salute kwa wapigania haki wote wa Tanzania popote walipo!

    Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly. Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…