Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
haki
haki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
no reform
no reform no elections
tanzania
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
vikwazo
viongozi
viongozi wa tanzania
wapinzani
Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii.
Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa...
Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi.
Sasa kimbembe kimekuja, wao wamekata salio kwa usd, ila kwenye kuweka kiwango unachagua sarafu...
Wa Tanzania nawaomba tunapokaribia kipindi hiki cha uchaguzi ni vizuri kumushilikisha Mungu.
Wa Tanzania Tuna dini
1: Wakristo
2: Waislam
3: Wapagani
Sasa ni wakati wa kila mtu kwenda mbele za Mungu kuliombea Taifa letu ili tuvuke salama
Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao...
Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa...
Mambo 10 kufikirika kuhusu interview ya chionda ambayo inatrend
1. Picha inaanza Crown FM wameficha kwamba jamaa anaitwa Abas Chionda, yani ni muislam. Ameulizwa jina anasema
Chionda tu, jina moja kwani ye mnyama? Wamefanya maksudi sababu wakristo wangekuja juuu kwa namna anavoongea unaweza...
Tumeona china ama-restrict uuzaji wa rare earth metals kwa nchi zote dunia sio marekani tu kama mtu anayepigana naye vita na haya ni maoni yangu ambayo yatakuwa na faida kwa nchi kama yakifanyiwa kazi
Mfano wa rear earth material zilizopo Tanzania
neodymium
praseodymium
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
Uchaguzi wa Tanzania, ni uchaguzi unaofanyika kikatiba kila baada ya miaka mitano.
Ni uchaguzi ambao haufanyiki kutokana na maoni au mapendekezo ya serikali, chama cha siasa, asasi ya kiraia, taasisi ya dini, kabila wala shinikizo la kundi lolote la watu kutoka ndani au nje ya nchi, bali ni...
Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki!
Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea
Najaribu kufikiria uchaguzi utazuiwaje?
Tutazuia mabox ya kura yasiingie? Tutazuia mtu asipige kura? Tutachana ballot paper...
Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania.
Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
Wewe ni nani? Ni Nini
Mama Tanzania
We ni wapi ni yupi
Maji na bahari,maji baridi
Kwenu ni wapi asili ni ipi
Iwe karibu nyumbani
Kilimanjaro,Dunia juu zaidi
Watoto wako ni wapi
Wavivu? Walegevu?
Wenye fikra?wasubirivu?
Mbaya wako ni yupi?
Kwa Baba mtoto hukua?
Wanaume.ni wapi? Ushajaa ni upi...
Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini?
Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya “AMKA TWENDE NA SAMIA 2025"
wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini.
Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.