Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
SABATO NJEMA ....
"Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu"
Neno Kuu Mathayo 23:35
“Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili mwenye haki, hata damu ya Zakaria mwana wa Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhabahu.”...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA
Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023.
Ongezeko hilo...
Natabiri haya
MAENEO
Kutakuwa na mikoa 48
Kutakuwa na majimbo 240
Kahama itakuwa na hadhi ya jiji
AJIRA
Kilio kikali sana cha ajira, Hiki tunachokiona sasa ni cha kawaida sana.
AI itakuwa imechangia sana kupunguza ajira
POPULATION
Kutakuwa na watanzania zaidi ya milioni 150
SIASA
CCM...
VETA (Vocational Education and Training Authority) ni taasisi ya serikali ya Tanzania inayotoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na watu wazima. Imekuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotafuta njia mbadala ya elimu ya kawaida ya darasani kwa lengo la kujiajiri au kuajiriwa kwa ujuzi wa vitendo.
2...
Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu.
https://www.facebook.com/share/r/1CCPnYjL7P/
Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA
Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
Habari zenu wanaJF. Nilikuwa nauliza kuhusu Aliexpress mwenye ujuzi nao tafadhali atuthibitishie. Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali Expresss Tanzania, basi nikamsililiza akanambia alinipa task kuwa atanipatia link then bidhaa...
Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro
Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania ili kuhakikisha juhudi za pamoja zinatekelezwa katika usimamizi wa amani na...
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiwatukuza wazungu kwa vitu vya ajabu ambavyo ukikaa na kutafakari utagundua kuwa na upuuzi mtupu.
Mi huwa najiuliza kuwa Columbus alipoenda America hakukuta watu? Kama alikuta watu kwa nini tumwite mgundizi wa America wakati hata wale aliowakuta hawajawahi kudiriki...
Vijana mnao soma olevel kuanzia kidato cha kwanza hadi ya Sita.
Jifunzeni hesabu online kwa huyu teacher yupo nondo sana.
Channel yake ya YouTube ni: https://youtu.be/Y77Sx4L-RVw?si=tlGThfXpJSUdupmz
Anafundisha bure
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali...
Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!
Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan.
Waziri Mkuu...
Na Mwandishi Maalumuu,
Shandong - China
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China kwa maslahi ya nchi hizo na watu wake.
Pia, amehimiza kudumisha uhusiano wa...
Anaweza kuwa Papa wa kwanza kutembelea zaidi ukanda wa Afrika kabla hajawa Papa. Papa ameishi Nigeria, pia ametembea Congo DRC na Kenya.
Kwa mujibu wa Catholic News Agency, Papa ameshafika Tanzania zaidi ya mara tano na kufanya kazi maeneo mbalimbali katika nyakati hizo ikiwemo Morogoro na...