tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

    Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu. IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada...
  2. D

    JamiiForums Tanzania I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa aikaribisha Japan kuwekeza nchini

    29 May 2025 Tokyo, Japan PM MAJALIWA - JAPAN YAKARIBISHWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=OZi6y1z9ffE Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa asema kuwa Japan imekubali sasa kufanya ubia na wazawa wa kiTanzania kufungua biashara na miradi mikubwa Tanzania Kimkakati...
  4. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Sisi Wananchi Wa Tanzania Tumeamua

    SEhemu ya maneno ya UTANGULIZI wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Inasema.... KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya UHURU, HAKI UDUGU na AMANIi: NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Mtanzania Maria Sarungi wakenya wana cha kujifunza kwake haingilii kiharakati mambo ya Kenya kama wao kuingilia ya Tanzania

    Mwanaharakati Mtanzania Maria Sarungi wakenya wana cha kujifunza kwake haingilii kiharakati mambo ya Kenya kama wao kuingilia ya Tanzania Tanzania tuna wanaharakati kibao ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania lakini hakuna aliyewahi kuingilia mambo ya kenya na kufanya uanaharakati wao kule...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli ombaomba wa tanzania, wauza bange na gongo wamejazana huko?

    Miongoni mwa mambo yanayonikera mno ni wakenya kujitapa, ya kwamba Tanzania imejaza Omba Omba Kenya, inaniumiza sana sana, serekali ilichunguze hili ione jinsi gani itawasaidia tofauti na wanavyokwenda huko na kuiaibisha nchi yetu, Tanzania ione jinsi ya kumaliza tatizo hilo, endapo kama ni la...
  7. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuzielewa hospital za Tanzania

    Hii imekaaje wakuu. Niko hapa hospital moja ubungo, makuburi kuna jamaa alikuja kupata huduma. Nilifanya kumsindikiza. Ila ninachokiona hapa halinivutii wala kunipa picha nzuri. Reception tu huyu daktari/mhudumu amekaa na wenzake wawili yaani sio watu wa hospital ni wauza chakula/ mama ntilie...
  8. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yataka Jumuiya Afrika Mashariki kuwajibika unyanyasaji wanaharakati

    Chama cha ACT Wazalendo kimelaani matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu, unyanyasaji wa kijinsia, na ukiukwaji wa mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaodaiwa kufanywa na mamlaka za Serikali ya Tanzania. Matukio hayo ni pampoja na kuzuiliwa na hatimaye kurejeshwa nchini Kenya kwa...
  9. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Beach Plot for sale, located at Kigamboni Dege, Price $3M, Negotiable

    Wonderfully Sand Beach Plot for Sale at Kigamboni Dege ●Area ize 9.6 Acres ●Price 3m usd ●Document: Title deed Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania: PLO Lumumba weighs in!

    https://youtu.be/NOoBaOwO6g8?si=_q8xG3hw918zLpm7 Mwana-umajumui wa Uafrika kutoka Kenya katoa maoni yake kwenye chaneli ya Fanya Mambo Afrika kuhusu mambo yaliyojitokeza wiki iliyopita hapa Tanzania kuhusu baadhi ya wanaharakati waliokuja nchini kwa ajili ya kesi haramu inayomkabili Tundu Lisu...
  11. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtoto wa miaka 13 alierudishwa Tanzania kutoka South Africa, nina maswali kadhaa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, haswa inayohusu habari za nje ya Tanzania. Kuna tukio fulani limetokea hapa Kaburu ambalo linamhusu dogo fulan kwa jina anaitwa Joel au Juma mwenye umri wa miaka 13, ambae imeonekana kuwa kiasili mzazi wake mmoja (baba)...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jarida la World Visualized Limetoa Takwimu Za Nchi 10 zenye kuongoza kwa Uchumi Haramu (Shadow Economy), Tanzania yashika nafasi ya 7 Duniani

    Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya kiuchumi ya matrillion ya Shilingi. Uchumi wa kivuli (Shadow Economy) unajumuisha aina mbalimbali za...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  15. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  16. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

    https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB Sikiza hiyo: Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao. Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo. Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
  18. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy would expand by 4.8%, while Tanzania's would grow by 6% Kenya's GDP is expected to soar to $132 billion...
  19. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha." == President William Ruto...
  20. Criss

    JamiiForums Tanzania Je! Siyo kama Tanzania ilikuwa na ugomvi wa siri na Kenya?

    Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu. Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli? Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
Back
Top Bottom