GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,812
- 18,423
SEhemu ya maneno ya UTANGULIZI wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Inasema....
KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya UHURU, HAKI UDUGU na AMANIi:
NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na Bunge lenye wajumbe waliochaguliwa na linalowawakilisha wananchi, na pia yenye
Mahakama huru zinazotekeleza wajibu wa kutoa haki bila woga wala upendeleo wowote, na hivyo kuhakikisha kwamba haki zote za binadamu zinadumishwa na kulindwa, na wajibu wa kila mtu unatekelezwa kwa uaminifu.
Kwa sasa ukitamka hayo maneno waonekana ni mpingaji.