TANGAZO LA KUUZA KIWANJA β IHUNGO, BUKOBA MJINI
Nauza kiwanja changu kilichopo Ihungo, Bukoba Mjini. Kiwanja ni tambarare, kina ukubwa wa 20m x 40m, na barabara inapitika vizuri hadi kiwanjani.
π Mahali pazuri kwa makazi
π« Shule, hospitali na maduka vipo karibu
π Miliki halali, salama...