tangazo

  1. Dr leader

    Tangazo la kupotea kwa Mtoto wa kike

    ⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️ Tunaomba msaada wa wananchi wote. Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana. 📍 Maeneo aliyopotelea: Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe. Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza...
  2. astalavista

    Mfanye mteja asikie tangazo lako la biashara kila akikupigia badala ya ringtone ya kawaida.

    Ni sisi ONFON MEDIA watu mahiri kwenye mifumo mbalimbali, wakati huu tunakusogezea huduma ya RING BACK TUNES kwa gharama ndogo sana ya 30,000/=. Mfanye mteja wako apokelewe na ujumbe maalumu mara tu akupigiapo simu. Nipigie/WhatsApp 0795790411
  3. M

    Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara lililokuacha katika hali ya mshangao

    Wakuu, katika harakati zetu sisi vijana, hasa upande wa kibiashara, je, ubunifu wa kutengeneza matangazo una athari zozote katika maendeleo ya biashara zetu? Kwa mfano, unakuta baadhi ya watu huweka matangazo yenye vichekesho, na baadhi yao huweza kuvutia wateja na kuwafanya wapendezwe na...
  4. Royal Son

    Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  5. Binti wa zamani

    TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

    Siku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya. Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026...
  6. ELI COHEN

    NMB wajanja sana, naona wanamu kandia CRDB kidizaini katika hili tangazo

    Kumbuka crdb huwa inatambulika na rangi ya kijani😁
  7. VN Warehouse Limited

    Tangazo Maaalum la VN Hardware

    VN HARDWARE ni duka la kisasa la vifaa vya ujenzi linalolenga kutoa suluhisho kamili na la kuaminika kwa sekta ya ujenzi. Tunajihusisha na usambazaji wa vifaa bora vya ujenzi kwa mafundi, wakandarasi, kampuni na wateja binafsi, tukizingatia viwango vya ubora, ufanisi na huduma ya kitaalamu...
  8. H

    Tangazo la home tuition – mafunzo bora ya nyumbani

    Mzazi au mlezi, je unajisikia maumivu kuona mtoto wako: Hajasoma wala kuandika vizuri? Anapata tabu kuelewa masomo darasani? Anashuka darasani licha ya juhudi zako zote? Anaogopa masomo au hana kabisa hamasa ya kujifunza? Usijilaumu. Watoto hawafeli kwa sababu hawana uwezo, mara nyingi...
  9. Planet Data bundles

    Tangazo la kazi 100k kwa mwezi. Kazi unafanyia popote

    Nafasi za kazi huria Kazi ni digital services Mshahara -100k kwa mwezi Uwe na simu Uwe mkoa wowote Mkataba upo Uwe una uzoefu wa kuongea na watu (Communication skills) Ushawishi muhimu Wanaotaka ni PM AU ANDIKA NO YAKO NITAKUPIGIA CONTACT: zelemelohiym@gmail.com
  10. H

    Tangazo la home tution Afrika Mashariki yote

    Je, unahitaji mwalimu bora anayekufikia nyumbani au online? Sisi tunatoa HUDUMA ZA HOME TUITION kote Afrika Mashariki 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇸🇸 🔹 Mitaala yote (NECTA, Cambridge, IGCSE n.k) 🔹 Masomo yote kuanzia chekechea hadi sekondari 🔹 Lugha zote za kigeni 🔹 Mafunzo ya mtu mmoja mmoja au makundi 🔹 Online &...
  11. H

    Tangazo la home tuition (mikoa yote Tanzania)

    Je, unatafuta mwalimu bora wa home tuition kwa mtoto wako au kwa ajili yako binafsi? Sisi tunakuletea huduma bora, salama na za uhakika katika mikoa yote ya Tanzania HUDUMA ZETU Tunatoa Home Tuition kwa: Awali (Nursery) – Msingi – Sekondari – Chuo Mitaala yote NECTA Cambridge IB Montessori...
  12. A

    TANGAZO LA KAZI

    Anaitajika mfanyakazi mwenye taalum izi Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Market idea na usafi KAZI ni ya mini super market pamoja na butcher ivyo awe na idea ya kutunza nyama na samaki pia awe anaweza ku park vizur number ya sim 0763390302 Mwisho wa...
  13. A

    Tangazo la kazi

    Anahitajika mfanyakazi mwenye taaluma zifuatazo: Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Uelewa wa masoko na usafi Kazi ni ya mini supermarket pamoja na butcher, hivyo mwombaji awe na uelewa wa kutunza nyama na samaki na awe anaweza ku-pack vizuri...
  14. Inside10

    Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  15. Msanii

    Tafakuri: Viongozi wanapoamuru jeshi kuua raia ni tangazo la vita? Nini hatima yake?

    Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025, lilikuwa ni tangazo la maandalizi ya vita dhidi ya raia. Kitendo cha kutoa...
  16. Mind stone

    Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
  17. stakehigh

    BBC wamelipia tangazo insta kuonyesha maandamano yalivodhibitiwa

  18. T

    Tangazo la usaili bungeni walioomba kazi

  19. Doctor Mama Amon

    Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  20. Halmashauri ya Jiji DSM

    Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Back
Top Bottom