Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Damu zenu wa Tanganyika wazalendo zitawasumbua watawala na wote walio husika katika hili mmekufa kishujaaa mkilipigania Taifa lenu la Tanganyika mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa Mbingu na Ardhi mlinzi wa wote Bariki vijana hawa wa kitanganyika walio mwagwa damu na...
Haya ndo yanayozungumzwa na Propaganda machinery yao Kigogo.
Hawa watu hawawazi Watanganyika waliowaua, hawawqzi uchumi wao waliousimamisha. Wanachowaza ni kugawana vyeo na Madaraka ili waendelee kuila Tanganyika.
Nawahakikishia. Kwa ushenzi mlioufanya mwaka huu jueni tu Revolution wont be...
Kwa miaka mingi Mungu amekua akiitumia Taifa langu Tanganyika kama mapumziko na tumaini la wanadamu kutoka mataifa kadha wa kadha mbao tamaa na ukatili wa binadamu wenzao ziliwafanya wakakimbia nchi zao.
Tanganyika ndio nyumba ya shuhuda za mamilioni ya wakimbizi wa kiafrika ambao sasa wanaishi...
Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika.
Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu.
Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo ambayo yametengenezwa na kila mtu kaona.
Simameni kuiokoa Tanganyika dhidi ya huyu mshenzi mzanzibari...
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli...
Wewe Kombo, unawasiliana na Mataifa ya Nje na wawakilishi kama nani?
Kwa mujibu wa Katiba hii hii muda wako wa Uwaziri umekoma jana siku ya Uchaguzi na sasa wewe ni raia wa kawaida tu
JWTZ tunaomba mumuweke ndani huyu mshenzi fisadi ndugu yake na Samia Thabit Kombo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo.
Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya kabisa katika maisha ya kisiasa ya Mzee huyu tunayempenda sana.
Ni vizuri kwa viongozi wa nyakati...
Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU.
Kama tunavyofahamu, eneo la Tanganyika Packers lililopo Kawe, Dar es Salaam, kwa sasa linamilikiwa na Serikali ya...
Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika.
Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU.
Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama.
Ewe mwenyezi Mungu nisaidie.
Amina
Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa.
Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
Ndugu zangu watanzania,
Tarehe 8/9/2025 ndo WATANGANYIKA tunaanza harakati za ukombozi huru wa taifa letu. Kama wewe kijana mpenda nchi yako tukutane mahakamani siku hiyo kwenda kumpa sapoti na kumpigania shujaa wetu,
Ni siku muhimu sana kwetu kwenda kuiandika historia mpya ya kumuunga mkono...
Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiliamali wa Tarafa ya Karema, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao, Serikali imefafanua, Kusoma zaidi kuhusu Wananchi hao bofya hapa ~ Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika...
1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya...
Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao.
Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
Unajua kila siku nikiamka asubuhi najiuliza hili swali lakini sipati jibu,
Ina maana CCM wote hakuna mtu yeyote Mzalendo kama Magufuri ili aweze kuzisimamia rasilimali zetu?
Huyu Mama kawapi nini? Kwa nini Rostaman Aziz hiki kiburi anapewa na nani cha kupora rasilimali za inchi huku Viongozi...
Inamaana wajumbe /wabunge walioteuliwa au kuchaguliwa huko nyuma kabla ya bunge la sasa la wabunge wasomi wajinga,je hawa wote walikuwa wasomi?
"THE STORY OF THE TANZANIA PARLIAMENT : FROM THE COLONIAL ‘LEGISLATIVE COUNCIL’ TO THE POST-INDEPENDENDE ‘PARLIAMENT’.
This is a continuation of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.