tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  2. O

    Watangayika kwa sasa wanahitaji Jamhuri ya Tanganyika kuliko kitu chochote katika safari ya mageuzi na ukombozi wa Taifa hili

    Vyovyote itakavyokuwa kuhusiana na Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni lazima Jamhuri ya Tanganyika iwe na serikali yake inayojitegemea na kamili. Kwa siku za karibuni, Mkuu wa Dola amejidhihirisha kuwa adui namba moja na tishio kwa usalama na uhai wa Jamhuri ya Tanganyika kuliko...
  3. I

    Tanganyika Special Threads

    GT. Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu. Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa...
  4. Nauza Samaki Aina zote Kutoka Ziwan Tanganyika, fresh fish (Wenye Bucha za Samaki)

    Aina za Samaki Sangara. Kg 1 Tsh 10,000 Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000 Sato. Kg 1. Tsh. 9,000 Migebuka Kg 1. Tsh 8,000 Nungi. Kg 1. Tsh 8,000 Kungura. Kg 1. Tsh 8,000 Singa. Kg 1. Tsh 7,000 Napatikana Sumbawanga. (Usafr Juu yako Mteja) Name: Silvester...
  5. Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa

    Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa https://youtu.be/cGln0q9H1Oc
  6. R

    Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  7. Kukatika kwa kiungo: Nani anamshauri nani Tanganyika!

    Kwenye kabumbu kiungo mchezeshaji akiyumba timu lazima ichezee kichapo ama ifanye vibaya Maziwa ya ng'ombe yako ya aina mbili, fresh na mtindi.. Ukisikia maziwa yamekatika maana yake sio fresh na sio mtindi Mbege pia inakatika Pombe pia inakatika Hata soda pia.. Ukiifungua haifanyi psii...
  8. Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Akili za baada ya kushiba: UDOM au UDSM kimoja wapo kibadilishwe jina kuwa University of Tanganyika au University of Tanzania. 🥱🥱😌😌
  9. M

    Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, tutafuta Jina Samia kwenye kila kitu hapa Tanganyika

    Mzanzibari asijekuwa tena Kiongozi wa Tanganyika
  10. Msiba wa mzee Mtei na heshima kubwa ya CHADEMA Tanganyika

    MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA Mwl. John Pambalu Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
  11. Zimwi la ziraili wa gizani linavyoitesa Tanganyika

    Kuna siku nilikuwa nabarizi kando ya mto wenye kivuli kizuri.. Ghafla nikaliona joka la kijani limepiga mbizi mtoni na ghafla likaibuka na samaki kinywani Kuna sauti ikaniambia pale lile joka la kijani likiulizwa huyo samaki unampeleka wapi kwa hakika litasema likikuwa linamuokoa asichukuliwe na...
  12. Ni kipi chama pendwa zaidi Tanganyika

  13. Oktoba 29: Hatma ya Watanzania na Mustakabali wa Tanganyika Yetu

    Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania haitegemei tukio lenyewe pekee, bali namna tunavyolielewa, tunavyolishughulikia, na maamuzi...
  14. R

    Adui wa kwanza wa Tanganyika ni China

    Puuzi so.called Waziri wa Mambo ya Nje Anampongeza kwa kupata asilimia 98. Hakuongelea mauaji yaliyotokea 29.10.2025. Huyu ndiye adui wetu!
  15. M

    Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

    Hii sio haki kabisa. Tunawajengea Wazanzibari mbona hapa Tanganyika hakuna shule kama hii?👇
  16. W

    Mwabukusi awashangaa wanaosema kwa lugha nyepesi tusameheane baada ya mauaji ya Oktoba kama vile mtu amekanyaga tu kitumbua

    Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi. Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
  17. R

    It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?

    Ujumbe wangu ni huo! Unaeleweka na wala hauhitaji maelezo SAVE TANZANIA/TANGANYIKA
  18. Watoto wa Chief Mohosh Plantan (Afande Plantan) katika historia ya Tanganyika

    Watoto wa Chief Mohosh Plantan (Afande Plantan) katika historia ya Tanganyika https://youtu.be/fPdA-pfDcnw?si=c-i7GRJomRUDrOYQ
  19. Tanganyika vs Tanzania

    Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa NB: unaweza kutaja sababu 1. Tanganyika 2. Tanzania Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
  20. Kutofanikiwa kwa maandamano ya Mo 29 , D9 na hatima ya Tanganyika

    Naona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana! Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭 Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende bila kelele. Kumbukeni wakurugenzi wote nchini wameitwa wako huko Mkandarasi wa igizo hili ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…