Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes walisema: "tuanzishe taasisi nyingine ili tuiondoe Uislamu ndani ya African Association". Jambo hili...