tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kesi ya bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga, yatua mahakama ya Afrika ya mashariki EACJ

    Kigali, Rwanda RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
  2. R

    Nimeambiwa nichague kituo cha kazi cha kudumu Tanga mjini au Singida mjini, Je nihamie wapi ?

    Wakuu habari zenu Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia...
  3. W

    PreGE2025 Tanga: REA waendelea kusambaza mitungi za gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku

    Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Manjis Logistics Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Tanga kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji. Hayo...
  4. PreGE2025 Tanga: Mafuriko ya Rais Samia katika Uwanja wa Mkwakwani

    Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
  5. PreGE2025 Mbunge Ummy Mwalimu aomba kufufuliwa kwa viwanda, ujenzi Chuo Kikuu Tanga

    Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya kiuchumi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Februari 28, 2025 katika Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga, wakati wa...
  6. L

    Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia. Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata...
  7. House4Sale INAUZWA NYUMBA INAUZWA TANGA

    Nyumba ipo Pongwe Tanga * Rooms 3 kimoja master *Sebule *Dinning *Open Kitchen *Public Toilet
  8. Mtoto wa Kike wa Tanga aliyesifiwa kujua Lugha ya Kiingereza kwakuwa kasoma Shule za 'Kata CCM' amewaumbua Wanaomsifia na aliye Ziarani

    Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
  9. P

    PreGE2025 Rais Samia kuyaaga mashindano kwenye kinyang'anyiro cha Urais? Kakosea na kumuita waziri Mh. Rais, apata kigugumizi

    Chawa wa mama salamaaa? Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  10. PreGE2025 Tanga: REA inatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme kwa thamani ya shilingi bilioni 137.87.

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage amesema kuwa Mkoa wa Tanga unatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme katika vijiji, miji, vituo vya afya, pampu za maji, maeneo ya migodi pamoja na viwanda vidogo ambayo thamani yake ni shilingi bilioni 137.87...
  11. Rais Samia akipata chai na vitumbua katika Ikulu ndogo Tanga, kabla ya ziara kuelekea Muheza na Mkinga

    Wakuu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anaendelea na ziara yake mkoani Tanga. Asubuhi ya leo Alhamisi, Februari 27, 2025 ameandika katika kurasa zake za kijamii: “Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na...
  12. PreGE2025 RC Tanga: Tulianzisha kauli mbiu ya "Mtoto wa leo, Mama Samia wa Kesho" ili kuongeza ufaulu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amesema walianzisha kauli mbiu ya "Mtoto wa leo, Mama Samia wa Kesho" ili kuongeza ufaulu na katika Wilaya ya Handeni
  13. L

    Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  14. Rais Dkt. Samia: Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Pangani Kufungua Mkoa wa Tanga Kiuchumi

    RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
  15. Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

    Mkoa umebarikiwa kila kitu Sijui wagosi wanafeli wapi
  16. PreGE2025 Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo (Makurunge), Saadani, na Tanga Pangani. Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani utagharimu shilingi bilioni 107 hadi kukamliika kwake, na litakuwa na urefu wa mita 525. Soma: Miradi kuelekea...
  17. Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  18. Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  19. PreGE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

    Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa. Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
  20. Rais Samia azindua jengo jipya la Halmashauri Bumbuli, afika Korogwe Bumbuli na Lushoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jumatatu, Februari 24, 2025, amezindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli, mkoani Tanga, akisisitiza umuhimu wa miradi ya maendeleo kwa wananchi. Mara baada ya kuzindua jengo hilo, Rais Samia ameeleza furaha yake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…