tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. TANESCO MOROGORO: Umeme unakata na kurudi mara ya 23 hii ndani ya dakika 45

    TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa? Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki hizi za hivi karibuni mnalichezea rafu sana. Acheni upumbavu kama kuna hitilafu kateni rekebisheni...
  2. Magufuli kafanya mengi ila Air Tanzania, TRC, na Tanesco aliwazidishia upendeleo. Staff wa hizi taasisi wanaomchukia Magufuli hawana shukrani

    Habari wadau Huu ni ukweli mchungu 1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha 2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia...
  3. P

    Nguzo inayotoa umeme kwenye transfoma maeneo ya Maringo-Kawe ina hitilafu, TANESCO shughulikieni kabla hatujaongea mengine

    Salam Wakuu, NImepita maeneo hayo asubuhi hii moja ya nguzo inayotoa umeme kwenye transfoma hiyo inatoa mlio ule wa kama kuna shoti. Wenyeji wanasema hali hiyo imeanza toka toka jana mchana lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika. TANESCO fanyeni hima kushughulikia suala hili lisije likaita...
  4. S

    TANESCO DODOMA.WANANCHI TUMEWAKOSEA NINI..?

    Wakuu kwanza salamu sana. Nipo Dodoma Kwa wiki mbili sa hivi . Lakini Dodoma niliyomo umeme wa uhakika hakuna. Dodoma muda wowote umeme unakata. Kutoka tarehe 24 hivi Kila ikifika saa sita saba hivi umeme unakatika na kuwaka si chini ya mara 10 Kwa saa Moja. Paap unakuja, paap unakata. Juzi...
  5. DOKEZO Magole Kitunda tuna changamoto ya umeme tunaomba TANESCO tuongezewe Transfoma

    Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum naomba mnisaidie kufikisha kilio hiki sehemu husika. Ahsanteni
  6. KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  7. KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  8. KERO Eneo la Magole kwa Mpemba mchafu Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo

    Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu . Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi yameongezeka lakn Tanesco hawajabadili transforma, umeme ni mdogo hata friji na pampu za maji haziwaki...
  9. TANESCO watoa ratiba ya umeme wakati wa maboresho ya mitambo kuanzia Februari 22, 2025

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...
  10. TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu maboresho ya miundombinu kituo cha Ubungo kuanzia Feb 22-28 na kuathiri maneno ya Dar, Zanzibar na Pwani

    Tutakuwa na maboresho ya miundombinu yatakayofanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha umeme cha Ubungo ambayo yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti kwenye baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani. Tunapenda kuwatia hofu wananchi kuwa maboresho...
  11. F

    Wadau tupeane mbinu za kuishi wiki nzima bila umeme

    Wadau tupeane mbinu za kuishi wiki nzima bila umeme Maana kwa maelezo ya Tanesco from tarehe 22 mpaka 28 dar na zanzibar tutakuwa gizani. Kupisha substation ya Dar kufungwa transfoma na miundombinu mipya za kumudu umeme mwingi wa JNHPP. Mwarabu anataka akabidhi bwawa asepe zake
  12. TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani kukosa umeme kwa nyakati tofauti

    TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
  13. R

    Uliwahi kuunguziwa kitu gani na matatizo ya umeme ya Tanesco (Kata washa, Umeme kufifia, n.k)

    Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k. Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na hufanya vifaa visipate umeme wa kutosha,mfano taa zinafifia
  14. Tanesco wa Ziwa Tanganyika

    Leo kwenye pitapita zangu nikakutana na huyu mwamba! Jina lake limenipotea ila nimepata kusikia watu wakimuita TANESCO wa Ziwa Tanganyika. Wanadai anachezesha shoti za umeme hatari! Je ni kweli kuwa huyu samaki sio wa kumgusa ovyo kama unavyomgusa Sato ama Sangara?
  15. Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  16. Hivi Makato ya Tanesco ya pango yamebadilika?

    Habarini wanajukwaa!! Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa. Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua November mwaka jana . Sasa Leo nimenunua wa 15000 nashangaa wanakata deni 10500 napewa umeme wa 4500 sawa...
  17. G

    Hivi hili deni ambalo Tanesco wanakata ukinunua Luku, wanakata kwa ajili ya nini?

    Habari zenu JF Naomba kuuliza mwenye kuelewa anijuze, nimenunua LUKU mwisho mwa meseji nimeona wameandika DEBT COLLECTED, Hili deni wanalokusanya ni deni Gani?, Kodi ya nyumba au ni Nini?,
  18. KERO TANESCO mbona mnakata sana umeme Mtwara?

    Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
  19. Meneja Tanesco Karatu jiuzulu

    Imekua kero umeme Karatu mjini upo huku Endabashi mnakata hovyo na mnatuunguzia vifaa. Achia ngazi waje wanaoweza unakiangusha chama cha CCM
  20. Kwanini baadhi ya nguzo huleta matatizo kipindi cha mvua?

    TANESCO zamani nguzo za umeme hizi za milingoti zilidumu hadi miaka 20 na kuendelea kwa sababu licha ya treatment ya kuchemsha kwenye dawa, ziada ilikuwa 1. Shimo la kusimikwa nguzo kulimiminwa zege 2. Baada ya kuisimamisha nguzo ilishindiliwa kwa zege 3. Nguzo zilidumu kipindi kirefu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…