tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. F

    TANESCO Geita muwe serious kidogo

    Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa. Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo. Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
  2. Kuanzia Septemba 2022 TANESCO itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja

    Mita janja kuanza kuunganishiwa wateja Septemba SERIKALI imesema kuanzia mwezi Septemba itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja ili mkusaidia kununua umeme akiwa safarini bila kulazimika kuingiza kwenye mita yake. Waziri wa Nishati, Januari Makamba. Waziri wa Nishati...
  3. TANESCO kuweni wakweli kwamba umeme umepanda bei

    Ijumaa nilienda ofisi ya TANESCO kuulizia kama naweza kubadilishiwa matumizi ya umeme na kuwekwa kwenye matumizi madogo baada ya kutumia umeme wao kwa miezi mitatu toka nilipounganishwa na line yao. Nikaambiwa kwamba kwa mjini hicho kitu hakipo, hiyo huduma ipo upande wa vijijini na kama ni...
  4. S

    Mradi wa umeme uko asilimia 12 tu na umechelewa kwa miezi 8 Dk Mpango asema hataki kusikia kiswahili wala kisingizio

    Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameinyooshea kidole Wizara ya Nishati kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambao umechelewa kwa takribani miezi 8 sasa. Ujenzi wa Mradi huo uko asilimia 12 tu...
  5. K

    RC Mjema alalamika viwanda Shinyanga kushindwa kufanya kazi kwa kukosa umeme

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amesema katika Mkoa wa Shinyanga bado kuna tatizo la ukosefu wa huduma ya umeme wa uhakika hasa katika maeneo ya viwanda na migodi hali inayosababisha baadhi ya viwanda kushindwa kufanya kazi na wengine kuzalisha bidhaa kwa zamu sababu umeme...
  6. F

    Mita za tanesco

    Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
  7. Connection "Electrical and Hydropower Engineering"

    Habari wana JF... Hope mko safi kabisa Bila kupoteza muda jina kama linavoonekana apo. Ni muhitimu wa diploma in Electrical and Hydropower Eng... kutoka chuo cha ufundi Arusha(Arusha technical college.) Jaman wenye connection ya mradi wa umeme kule julius nyerere(Rufiji) naomba anisaidie maana...
  8. TANESCO yatangaza mgao wa Umeme nchi nzima kwa siku nne

    Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11. Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas. Source: Azam news
  9. Waziri January Makamba, kuna fedha za miradi mipya ya umeme zimepitishwa bajeti 2022/2023 kwa kila Tanesco mikoa. Fedha hizo zifike mkoani mapema

    January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee. Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha kwenye bunge bajeti ya 2022/2023. Tunakuomba tuko chini ya miguu yako tunasali ili fedha hizo zifike...
  10. D

    Tanesco Morogoro mnakera sana kwa kutowaunganishia wateja wenu umeme kwa wakati

    Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana. Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa. Mwezi ukapita, nikaenda...
  11. TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  12. Mwauwasa ni Zaidi ya Tanesco sio kwa Gharama hizi za maji.

    Nyumba yangu iko umbali wa mita 150 kutoka bomba kubwa la maji lilipo. Nimeenda ofisini nikaambiwa nitoe 1.3M ili niweze kupaitwa huduma ya maji. Nikajiuliza kwanini gharama kubwa namna hii au kwakuwa maji ni uhai. Nikaondoka zangu huku kichwani nikiwa na mawazo ya kuendelea na ule mfumo wangu...
  13. TANESCO huu mgao kwanini hamtolei maelekezo?

    Kumekuwa na kukatwa kwa umeme baadhi ya maeneo ya nchi kuanzia asubuhi hadi jioni mengine kuanzia jioni hadi usiku sana tungetamani Tanesco watufahamishe kuhusu huu mgao au tatizo lililopo.
  14. S

    Msaada: Inawezekanaje TANESCO kuweka nguzo kwenye eneo la mtu bila mwenye eneo kushirikishwa?

    Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi. Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo...
  15. Mfumo wa luku unasumbua Tanesco kimya

    Zaidi ya mara nimejaribu kununua bila mafanikio. Tanesco wapo kimya.
  16. TANESCO acheni kukatakata umeme!

    Siku ya leo, ndani ya masaa haya manne, mmekata umeme zaidi ya mara 20. Nia yenu ni nini? Kuna mtu aliniambia kuna watu ndani ya Wizara hawampendi Waziri Makamba kwa hiyo wanamfanyia figisu mbalimbali ili atolewe. Mimi simtetei wala simkubali huyo Waziri wenu ila kama ni kweli mnafanya haya...
  17. Wizara ya Nishati imulikeni TANESCO vizuri

    Waziri wa hii wizara sijui kama ana tambua kwamba bado wale wateja waliolipia 27k NC mpaka leo baadhi / wengi wao wana sumbuliwa kwa maana bado hawajawekewa huduma ya umeme ... Awali ilisikika ya kuwa tareh 30 March w022 ndio ilikuwa mwisho kwa wateja hawa kuwekewa umeme ...lakini mpaka leo...
  18. Kama unataka TANESCO ibinafsishwe njoo hapa uone

    Sina maneno angalia hapa Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake. Kazi iendelee
  19. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hivi hii kampuni kuanza kukata makato ya shilingi 10000 badala ya 1000 ya makato ya kodi ya majengo ina maana gani , maani ni tofauti na agizo la Serikali kuwa kodi ya italipwa majengo kwa makato ya shilingi 1000 kila mwezi kwa miezi kumi, sasa huu utaratibu wa kukata 10000 , na kila mwezi 1000...
  20. Msaada: Ulaji mkubwa wa umeme kwa matumizi yale yale kwenye mita ya 3-Phase

    Wadau naombeni msaada kwa hili jambo,, Yaani siku hizi tangia wiki jana , ulaji wa umeme kwenye mita za 3phase umekuwa mkubwa mno. Yaani, ukiweka umeme ambao kwa kazi ileile ulikuwa unatumia labda siku 4, siku hizi unatumia siku moja kwa kazi hiyohiyo unaisha. Nimeleta mafundi wa umeme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…