Connection "Electrical and Hydropower Engineering"

sevenson707

Member
Jul 17, 2022
9
11
Habari wana JF... Hope mko safi kabisa

Bila kupoteza muda jina kama linavoonekana apo. Ni muhitimu wa diploma in Electrical and Hydropower Eng... kutoka chuo cha ufundi Arusha(Arusha technical college.)

Jaman wenye connection ya mradi wa umeme kule julius nyerere(Rufiji) naomba anisaidie maana ni muda sana umepita nimeshatuma C.V zangu ila sina hakika kama zimepitiwa au laa...
bhas naomba wenye connection za kule wanisaidie au ata kama kuna mtu ana connection za power plant kama vile (Mtera,kidatu,kihansi,pangani, kiujumla Tanesco) maana kwa swala la ajira hadi saiv bado tanesco haijatangaza ajira ... lakin swala la kujitolea bado imekuwa ishu kwa tanesco bhasi wenye msaada tafadhali nisaidieni...
 
kaka umemalz mwka gn mm mechanical technician halo tete

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Habari wana JF... Hope mko safi kabisa

Bila kupoteza muda jina kama linavoonekana apo. Ni muhitimu wa diploma in Electrical and Hydropower Eng... kutoka chuo cha ufundi Arusha(Arusha technical college.)

Jaman wenye connection ya mradi wa umeme kule julius nyerere(Rufiji) naomba anisaidie maana ni muda sana umepita nimeshatuma C.V zangu ila sina hakika kama zimepitiwa au laa...
bhas naomba wenye connection za kule wanisaidie au ata kama kuna mtu ana connection za power plant kama vile (Mtera,kidatu,kihansi,pangani, kiujumla Tanesco) maana kwa swala la ajira hadi saiv bado tanesco haijatangaza ajira ... lakin swala la kujitolea bado imekuwa ishu kwa tanesco bhasi wenye msaada tafadhali nisaidieni...
Kwa upande WA Tanesco ajira sikuhizi ni adimu kweli kweli ,sikumbuki hata mara ya mwisho jamaa kutangaza ilikuwa lini , option iliyopo labda ujaribu bahati kampuni binafsi
 
Back
Top Bottom