TANESCO wametuunga na wengine tumejoin wenyewe katika magroup yao ya TANESCO huku Masasi Mkoani Mtwara, tukilalamika humo hakuna kusaidika, hapa tu wametoka kukata umeme, wanakata sana, hivi kweli kuna uzalishaji hapa wa kueleweka?
Vitu vinaungua mara kwa mara kutokana na mtundo wao wa kukata...