Mrejesho: Nimepiga simu customer service hatimaye nimempata mhudumu ambaye kanieleza kuna deni la jengo ambalo sijalipa zaidi ya mwaka (sijui waliniruhusu kununua vipi umeme siku zote hizo) hivyo wamelifufua na nisinunue umeme chini ya kiwango fulani ili kulipa deni hilo. Baada ya kufanya hivyo nikafanikiwa kupata token.
Hapo sawa umesomeka mkuu.Mrejesho: Nimepiga simu customer service hatimaye nimempata mhudumu ambaye kanieleza kuna deni la jengo ambalo sijalipa zaidi ya mwaka (sijui waliniruhusu kununua vipi umeme siku zote hizo) hivyo wamelifufua na nisinunue umeme chini ya kiwango fulani ili kulipa deni hilo. Baada ya kufanya hivyo nikafanikiwa kupata token.
Tangu jana nimeshindwa kununua umeme kupitia Airtel na Halotel. Airtel nimekatwa hela na sijapata token. TANESCO shughulikieni tatizo hili tunalala gizani hela ya kununua umeme tunayo.
Habari Chief.Hapo sawa umesomeka mkuu.
Habari, ndugu mteja.Tanesco na NMB mnatutesa sana hatuwezi nunua umeme na unit zimeisha
Walionunua hawajapa Token Hadi leo