tamko

  1. ibesa mau

    Tunasubiri Tamko la chadema ,kuhusu Mambo haya mawili

    Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi Marekani wamesema wanao...
  2. F

    Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

    Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4. Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema...
  3. Duniahadaa

    Bunge letu litoe tamko kuwa USA sio mbinguni, kwanini wampige mtoto wakati baba yupo?

    Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?. Bunge letu naliomba litoe tamko...
  4. M

    Meya Issaya Mwita atoa tamko

    Mayor Issaya Mwita anaandika... Na Issaya Mwita. Mayor wa Jiji la DSM. Marafiki zangu nawashukuru kwa maombi na dua zenu Kuna watu wengi hawakumuelewa hakimu kwa maamuzi yake ile jana Nilifungua kesi 6/01/2020... Siku ya Jumatatu, katika maombi yangu nilimtaka hakimu anipe mambo mawili 1...
  5. Infantry Soldier

    Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

    Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo; Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya...
  6. H

    Dudu baya afunguka kuhusu tamko la BASATA

    Msanii Dudu amefunguka baada ya kusikia kufungiwa mziki wake amesema sijapata wala kupokea barua yao so nitaendelea na mziki wangu Kama kawaida mpaka pale nitapopata barua yao alafu pia me sijafanya kosa lolote kwanini kuzungumzia kwangu na kukea matendo ya usagaji, ushoga na ufiraji ninaonekana...
  7. KENZY

    Tamko la Rais mkoani Morogoro kuhusu NIDA mpaka sasa hivi mrejesho wake ni upi..?

    Mbona kama NIDA bado haieleweki hata baada ya rais kutoa tamko kule morogoro kwa kumtaka mkurugenzi wa NIDA kutatua changamoto hii ya upatikanaji wa huduma ya vitambulisho vya taifa..? Nini mrejesho wa NIDA kuhusu utekelezaji wa kusambaa wilaya zote ili watu wapate vitambulisho kabla ya azimio...
  8. Ulimbo

    Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
  9. elivina shambuni

    Wabunge wa Kenya wamfagilia Magufuli

    WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini. Wakizungumza katika ziara nchini ya kujifunza namna Mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi na kutembelea miradi...
  10. F

    Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Halo JF siasa. Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya...
  11. Erythrocyte

    Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  12. Return Of Undertaker

    Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

    Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia. Unafanya uchaguzi kujidanganya...
  13. Mama Amon

    Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki

    PAROKIA YA MT. MIKAELI KAWE, DAR ES SALAAM Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki Tarehe 04 Novemba 2019 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, Juda Thaddeus Ruwaichi, ambaye ndiye Askofu mwenye mamlaka na Paroko wa Parokia ya Kawe...
  14. Alvin A.

    Watishie CCM huyu jamaa kila mtu atatoa tamko, na hapa povu litawatoka tu

    Hadi Lugola anaweweseka!! jamaa anawanyoosha balaa Huyu jamaa anawaumiza kichwa hadi leo ***Mtapata taabu saaana***
  15. S

    Jafo toa tamko kwa watendaji wako wanaokataa kupokea fomu

    Jafo waziri wa Tamisemi hizi kelele na video clips zinazozunguuka mitandaoni huoni au maagizo ya Bwana Mkubwa yanakupofusha? ukiiharibu nchi wewe ndio tutakaekubebesha uchafu wote
  16. assadsyria3

    BAKWATA Watoe tamko umri wa mtoto kuolewa

    BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote. Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini. Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima. Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
  17. Kaka Pekee

    Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
Back
Top Bottom