tamko

  1. S

    JamiiForums Tanzania TFF yatoa tamko baada ya Shaffih Dauda kutangaza Ndondo Cup

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  2. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko la kulaani tabia mbaya

    Dunia inaendelea kupiga hatua za kimaendeleo ikichagizwa na ukuwaji wa sayansi na teknolojia, ukuwaji huu unaenda sambamba na kuongezeka kwa tabia au mfumo mbaya ambao unaenda kuvunja na kuharibu kabisa tamaduni za Afrika lakini pia hata sheria za dini tofauti. Maendeleo haya ya teknolojia bado...
  3. JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglican Tanzania latoa tamko kukataa ushoga

    Kanisa la Anglikana Tanzania limetoa tamko zito kupinga msimamo wa Anglican England kuhusu ushoga na ndoa za jinsia moja.
  4. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko au waraka kupunguza adhabu ya fimbo mashuleni;watoto watavunjwa nyonga

    Bila jitihada za serikali kuweka msisitizo wa kuzuia au kupunguza adhabu ya viboko mashuleni; kuna uwezekano mkubwa wa kuzalisha taifa lenye walemavu wengi! Binafsi niliwahi kuchapwa enzi hizo nikiwa sekondari kwa kosa la jumla (darasa zima) na walimu karibu 10 kwa wakati mmoja. Nilipata...
  5. JamiiForums Tanzania Hili tamko la Kamanda wa Polisi ni la ovyo

    Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania? SIKU ZOTE NITALIA NA...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  7. JamiiForums Tanzania Je, lile Tamko la Wazee na Viongozi wa Matawi wa Yanga SC kutotumia bidhaa zozote zile za Azam Company linatekelezwa?

    Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

    Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
  9. JamiiForums Tanzania Maiti 59 zilizozikwa kwa kukosa ndugu Serikali yatoa taarifa

  10. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

    Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma. Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

  14. JamiiForums Tanzania Chadema wanatoa tamko juu ya ajali iliyotokea Bukoba

  15. JamiiForums Tanzania Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Mkenda dhambi hii ya udahili vyuoni isisubiri tamko la Rais Samia

    Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni ghali kuliko za serikali lakini ndizo zenye mazingira mazuri ya kujifunzia na kutoa ufaulu mkubwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Angola: Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji watoa tamko

    Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy nashauri ukae na wataalamu wa afya kabla ya tamko la bei ya huduma za afya

    Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…