tamisemi

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI inaajiri bila kuwa na bajeti? Kilio cha stahiki ya ajira mpya Halmashauri ya Bumbuli kina mwaka sasa hakuna majibu

    Halmashauri ya Bumbuli haijalipa posho ya kujikimu kwa ajira mpya tangu Mwaka 2025 Mwezi Februari, watu wanamaliza mishahara kulipia deni waliloahidi kupewa mwaka mmoha uliopita, kibaya zaidi hakuna maelekezo yoyote. Inamaana TAMISEMI wanaajiri watu bila kutoa bajetI za watumishi na ukizingatia...
  2. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Halmashauri Ya Wilaya Ya Mafia 2025/2026 – Stahiki za kujikimu hazijalipwa

    Ninaandika hapa kuwasilisha kero inayotukumba sisi baadhi ya watumishi wapya wa Afya wa Halmashauri ya Mafia tulioajiriwa mwaka 2025/2026. Mpaka sasa, watumishi hatujalipwa hatujalipwa kabisa hela ya kujikimu, bila maelezo yoyote rasmi kutoka kwa wahusika. Hali hii inaleta maswali makubwa juu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

    Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote umezuia na waziri mwenye dhamana. Sisi tulioajiriwa mikoani na tunafamilia ziko mbali na sisi ndoa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe: Watumishi wa TAMISEMI fanyeni kazi kwa upendo na ushirikiano ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM– TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka watumishi wa OWM- TAMISEMI kufanya kazi kwa bidii, upendo, ushirikiano, pamoja na ubunifu katika utendaji wao ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Prof. Shemdoe...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya TAMISEMI Sumbawanga tunalia njaa, tusaidiwe fedha zitoke, tukihoji HR anakuwa mkali

    Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona yanaumiza sana. Kinachumiza zaidi ni kwamba HR wa Manispaa ni mkali kama pilipili alituambia siku...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya TAMISEMI yapitisha Randama ya Bajeti ya OWM - TAMISEMI

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa Mwaka 2026/27 ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI)na kuelekeza itakapopitishwa na Bunge utekelezaji wake ukalenge kuwaletea...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI yakagua na kusema imeridhishwa na miradi ya TACTIC jijini Arusha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa ya TAMISEMI, ikiwataka watumishi wakabadilishe majina

  10. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yaahidi kushirikiana na TAMISEMI kusimamia Elimu Msingi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Florent Kyombo amesema kamati yake itashirikiana kwa karibu na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI) katika usimamizi na uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari ili...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu ataka TAMISEMI 'wakate safari na Chai' kujenga madarasa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kwamba ifikapo mwisho wa Februari 2026 awe amefikisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Imani iliyopo Mkata Magharibi, kutokana...
  12. JamiiForums Tanzania KM OWM - TAMISEMI: Kuna shida gani kuruhusu uhamisho wa kufuata Mwenza?

    Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu. 2. Kuna kisingizio cha msawazo...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Madiwani kuweni wanyenyekevu kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo. Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa Madiwani hao leo, wakati akimuwakilisha Waziri Mkuu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

    Weka neno, pita zako Twende kazi…
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI upande wa LGA hawajali maslahi ya watumishi wao

    TAMISEMI hasa upande wa LGA Hawajali masilahi ya Watumishi wao kila siku watu wanalamika hakuna majibu yanayojibiwa. Tasisi zote zilizo na miradi ya Ujenzi Kuna hela inakuwepo kwa ajili ya wasimamizi wa miradi na inawifikia wahusika ambazo asilimia kubwa ni wahandisi. Kwa upande wa LGA miradi...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  18. JamiiForums Tanzania Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  19. JamiiForums Tanzania TAMISEMI tangu Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka leo Kuna account unaambiwa user account is locked

    Tamisemi tokea Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka Leo hii Kuna account ukiingia unaambiwa user account is locked Ukiwapigia simu na wao hawaelew tena mmoja kaniambia tafuta namna ya kufanya maana sisi huku hatuna shida.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa chini ya Mradi wa GPE-TSP unaosimamiwa na TAMISEMI tuna hali mbaya kimaslahi, hatujalipwa

    Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025. Walimu wapatao 544 tuliripoti kwa awamu ya kwanza katika vituo tulivyopangiwa, na kuanza majukumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…