tamisemi

  1. TAMISEMI mmeamua kunifilisi kwa kuninyima uhamisho!

    Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu. Baada ya hapo maombi yangu...
  2. TAMISEMI na tabia ya kukwamisha uhamisho wa Watumishi

    Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote huo? Mmekaa ofisini mnazungusha matako hamjui shida zetu sio?
  3. Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
  4. TAMISEMI mbona mnachelewa kufidia watu wa bonde la mto Msimbazi?

    Kwenu tamisemi. Serekali imeshaweka nia na kutenga fungu mahususi kwa ajili ya fidia ya wakaazi wa bonde la mto msimbazi. Ni wazi kwamba wakaazi wengi wasiokuwa na hati (squatters) wamefidiwa flat rate shs mil 4. Pamoja na fidia ya majengo. Pale kwenye bonde kuna hati nane(8)ambazo serekali...
  5. Kufanya kazi TAMISEMI shida tupu, kila ukilala unaota uko jela

    TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela. TAMISEMI hata ukiiba elfu 50 jiandae kufukuzwa kazi au kufungwa. TAMISEMI ukifanya kazi kuwa makini, unaweza kuingizwa...
  6. L

    Uchapakazi wa Mohammed Mchengerwa TAMISEMI wawakosha Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya kiutendaji ndani ya wizara hiyo inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania kila siku. Ikumbukwe ya kuwa...
  7. S

    Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo...
  8. Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  9. Waziri Mchengerwa acha Kutudanganya Watanzania kuwa TAMISEMI imeoza sasa, kwani wenye Akili tunajua ilishaoza tokea 2005

    Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe anashirikiana na baadhi yao. Acha kutafuta Sifa kwa Wananchi kuwa leo hii una Huruma mno na Fedha za Watanzania...
  10. Barua ya wazi kwa wizara ya afya, tamisemi na wahusika wengine

    Salamu ziwafikie nyote, Naandika kwa wino unaovuja damu pia nitajitahidi kukosoa kwa staha, baada ya hosipitali ya amana kupewa hadhi ya rufaa, kuna hosipitali ilijengwa huku kivule ambayo inajulikana kama hosipitali ya wilaya ya kivule, mgonjwa anatakiwa aanzie hapo ndipo apewe rufaa ya kwenda...
  11. Idadi ya Wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza Januari 2024 yaongezeka kwa 1.57% ikilinganishwa na Mwaka 2023

    Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la Tanzania zimekamilisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024. Uchaguzi ulihusisha wanafunzi 1,092,984 wakiwemo Wasichana 507,933 na Wavulana 585, 051...
  12. K

    Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mtumishi wa umma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa atakayefanya kazi kwa bidii na uadilifu atamlinda lakini yule mzembe katika kazi hatasita kumuondoa kwenye nafasi yake. Mchengerwa ameyasema...
  13. K

    Tamisemi huyo mkurugenzi wa Pangani ni mpigaji na wasaidizi wake asiachwe kabisa, mpaka leo ajira mpya hawajalipwa pesa za kujikimu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mbenje na Watendaji walio chini yake kujitafakari juu ya mwenendo wa utendaji kazi wao kutokana na kushindwa kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo ikiwemo...
  14. Z

    Waziri TAMISEMI fuatilia posho za mafunzo ya maafisa tarafa na watendaji kata mkoa wa Lindi

    Tunaandika haya kwa uchungu, na masononeko baada ya kufanyiwa ukatili wa kutudhulumu stahiki zetu za posho kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata. Mh. Waziri Manispaa ya Lindi inaundwa na majimbo mawili ya Lindi mjini na Jimbo la Mchinga ambayo zamani ilikua ipo Halmashauri ya Lindi vijijini...
  15. Waziri Mchengerwa wasaidie watumishi umma, wanahamishwa vituo vya kazi bila kulipwa, wakihoji wanatengenezewa zengwe!

    Najua wewe ni mchapa kazi sana, kuna watumishi wa mamlaka ya serikali za mitaa na halmashauri ambao wanahamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine na wanastahili kulipwa kwa mujibu wa taratibu za kiserikali. Sasa cha ajabu watumishi hao wanahamishwa bila kulipwa kinyume kabisa na Sheria ya...
  16. TAMISEMI kushughulikia miundombinu ya shule za umma liangaliwe upya

    Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
  17. Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  18. Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu

    UTOAJI WA TAARIFA KWA WANANCHI UWE ENDELEVU - Dkt. Dugange Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za...
  19. T

    DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…