TAMISEMI imekuwa bora chini ya Mchengerwa

CHANGAMOTO ya TAMISEMI ni ubadhirifu je amefanikiwa Kwa kiasi gani kwenye Hilo??!
 
Wale ma afisa utumishi waliokita kambi kwa siku 14 huko tamisemi wanawaambiaje watumishi ambao hawajakutana na chochote kwenye mishahara yao?
 
Ni moja ya mawaziri wako smart sana kichwani ,kuanzia decision mpaka Social life, kwa muda mrefu nmemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana , Tamisemi imekuwa bora sana chini ya huyu bwana.
Weka like kama unamkubali.
Bora kwenye nini sasa
 
  • Thanks
Reactions: BRN
CHANGAMOTO ya TAMISEMI ni ubadhirifu je amefanikiwa Kwa kiasi gani kwenye Hilo??!
Huyu hata hajui kinachoendelea, wiki iliyopita tu Makonda alikuwa anapokea kero, ambazo 80% za watendaji wa Halmashauri walio chini ya TAMISEMI
 
Ni moja ya mawaziri wako smart sana kichwani ,kuanzia decision mpaka Social life, kwa muda mrefu nmemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana , Tamisemi imekuwa bora sana chini ya huyu bwana.
Weka like kama unamkubali.
Wew mwenyew ndo mchengerwa umekuja kupiga kampeni kijanja, mwambie shetani hapa hapati kitu
 
Naunga mkono kabisa .kwa hakika Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ni kiongozi mchapa kazi sana na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Nilishasema kuwa atafika mbali sana maana kila mtu anajionea namna anavyofanya kazi . Karibu kuangalia katika ziara anayoendelea nayo huko Morogoro ambapo anatumia hadi usafiri wa bodaboda katika kuhakikisha kuwa anamfikia kila mwananchi na kufika kila sehemu.
 
Hivi nani huwa analipa mapunjo ya mishahara, ninamadai ya miaka nenda rudi, ulienda ofisi za utumishi halmashauri unaoneshwa kuwa yapo kwenye mfumo, subiri kulipwa sasa ndiyo ngoma. Mwanzoni mwa mwaka huu nikalipwa mapunjo ya hivi karibuni ya nyuma akaachwa! Hawa ni Tamisemi au watu gani ambao hawataki kulipa mapunjo yangu.
 
Back
Top Bottom