tamisemi

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Elimu Mmetuchoma.

    Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitoa fursa kwa wahitimu wa kidato cha nne wa mwaka 2023 kubadilisha machaguo yao ya masomo wanayotarajia kusoma wanapoendelea na elimu ya juu baada ya kuongeza tahasusi 49. Mabadiliko hayo yatagusa tahasusi 'kombinesheni' za...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Serikali yaahirisha Utekelezaji wa Mtaala Ulioboreshwa wa Kidato cha Tano Mwaka wa Masomo 2024/2025

    Yah: KUAHIRISHA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA WA KIDATO CHA TANO MWAKA WA MASOMO 2024/2025 Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) ilipokea barua yenye Kumb. Na DC.297/507/01/370 ya tarehe 09/7/2024 kutoka OR-TAMISEMI kuhusu changamoto...
  3. Naju23

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imulikeni Halmashauri ya Bagamoyo ni wasanii

    Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia. Hamisho za wakuu wa shulni za hivi karibuni ni za upendeleo na nafasi za wakuu wa shule ni upendeleo wa wazi. Huyu mbwiga anaona walimu...
  4. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mfumo wenu wa Tausi unainyima mapato Serikali

    Nnakubali mfumo wenu umekuwa mkombozi sana kwetu wafanyabiashara imepunguza msongamano kwenye halmashauri ila kuna mapungufu myafanyie kazi maana mimi nna miezi 2 nnafanya kazi bila leseni. Sio kwa kupenda ila mfumo wenu hautaki maana mimi nna biashara ya hardware, nna godowns 4 nimetolea Moja...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Serikali imatengaxa ajira za ualimu 2024 zaidi ya nafasi 11,000 fungua PDF kuona --- TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015. TANGAZO LINASEMA HIVI: Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha...
  6. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Mpimbwe-Katavi wanufaika na miradi ya afya na elimu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema maboresho ya Elimu yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita yamechangia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa Halmashauri hiyo hususan ni kwa Shule ya Sekondari ya Mizengo Pinda ambayo imeshika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Walioanza kazi mwaka 2009 kuwa daraja sawa na wa 2003 si sawa, hamtakuwa mmewatendea haki

    Dalili zinaonesha kwamba, watumishi wa Umma walioanza kazi mwaka 2009 mwezi wanapanda daraja, hivyo watakuwa daraja moja na walioanza kazi miaka ya 2003. Hawa wote wana sifa moja. Kama ni kweli ikatokea hivyo, mtakuwa mmewatendea nini hawa walioanza kazi miaka ya 2003? Hatuoni kuwa...
  8. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa akemea utendaji usioridhisha wa Watumishi wa Afya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea utendaji usioridhisha wa watumishi wa afya katika maeneo ya kutolea huduma nchini kwa kuwa unaenda kinyume na maadili ya utumishi. Maelekezo ya Mhe. Mchengerwa yametolewa kwa niaba na Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano awamu ya pili kuna makosa mengi sana

    Mnamo tarehe 7 Julai, 2024 OR TAMISEMI waliweka taarifa kwenye tovuti yao kuhusiana na wanafunzi waliochanguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa awamu ya pili. Ndani ya taarifa yao kwenye tovuti kuna attachment ya excel iliyoandikwa kichwa cha habari "WANAFUNZI WALIOBADILISHIWA SHULE"...
  10. K

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  11. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya uratibu mikopo asilimia 10 kutatua changamoto za uelewa juu ya mikopo hiyo

    Akiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu leo Julai 9, 2024 Katibu Mkuu Adolf Ndunguru amesema, Serikali inatarajia kuona mafunzo hayo yanakwenda kutatua changamoto za utofauti wa uelewa na tafsiri ya baadhi ya vifungu vya kanuni kati ya...
  12. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 9,483 za Kada za Afya

    Kumb.Na.JA.9/259/01/B/ 11 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 9,483 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. Maeneo ya...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hii haifai, Waziri wa OR Tamisemi anamkusanyia fedha Rais Samia ili agombee 2025 akiwa anafanya shughuli za kiserikali sio za kichama

    BODABODA WAMCHANGIA RAIS SAMIA 3,170,000/= ZA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2025 Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amepokea mchango wa shilingi 3,170,000/= wa madereva bodaboda nchini...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jamani tamisemi toeni ajira basi

    Jamani tangazeni basi ajira ili watakaobarikiwa kupata wapate kama Kuna watu wasemaji humu mtusaidie kupaza sauti
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sare za bodaboda kuwekwa picha ya Rais Samia na Mchengerwa kuagiza madereva bodaboda waache kusumbuliwa halitaongeza uvunjifu wa sheria?

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva bodaboda na Bajaji wa Jiji la Dar es salaam. Sare hizi zina picha ya Rais Samia kama zinavyooneka...
  16. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Tuige mfano wa CRDB Bank Foundation kutoa fursa kwa vijana na wanawake

    Dar es Salaam. Tarehe 29 Juni 2024: Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru ameipongeza Taasisi ya CRDB Foundation kwa jitihada zake za kuwafungulia fursa vijana na wanawake na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kuongeza ujumuishi...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  18. Sharbel

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI acheni tabia hii. Ni Kama uhuni

    Hivi karibuni TAMISEMI wametoa chaguzi za kidato cha tano, na za Vyuo vya Elimu ya Ufundi. Kwa upande wa kidato cha tano, tarehe wametoa mapema, sijajua upande wa joining instruction, ila upande wa walio pangiwa Vyuo vya Elimu ya Ufundi, ni mtihani. Waziri wa TAMISEMI aliyasema haya wakati...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Hatutasita Kuchukua Hatua kwa Kiongozi Anayewanyanyasa Wananchi

    WAZIRI MCHENGERWA: HATUTASITA KUCHUKUA HATUA KWA KIONGOZI ANAYEWANYANYASA WANANCHI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI haitasita kuchukua hatua kwa kiongozi yeyote anayewanyanyasa wananchi kupitia ukusanyaji wa ushuru wa mazao kwani...
  20. S

    JamiiForums Tanzania ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

    TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira. au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema. mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala. kwa sababu ya...
Back
Top Bottom