tamasha

Tamasha (Marathi: तमाशा) is a traditional form of Marathi theatre, often with singing and dancing, widely performed by local or travelling theatre groups within the state of Maharashtra, India. It has also been the subject of several Marathi films. Some Hindi movies have also included Tamasha-themed songs, known as Lavanis, in the past.
Traditional Tamasha is influenced by many Indian art forms and draws from such diverse traditions as kaveli, ghazals, Kathak dance, dashavatara, lalit and kirtan. There are two types of Tamasha: dholki bhaari and the older form, sangeet baari which contains more dance and music than drama. In Maharashtra, the Kolhati groups are traditionally associated with the performance of Tamasha.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

    Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha wataja njia zitakazotumika katika Tamasha la Land Rover, usalama waimarishwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema limejipanga vyema kuhakikisha linafanyika kwa amani na utulivu. Akitaja njia hizo Mkuu wa Kikosi cha...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Chris Brown Johannesburg: Tiketi zote zimeuzwa, zikiwa na bei kuanzia Tsh. 94,000 hadi 800,000

    Tiketi za tamasha la Chris Brown ‘Breezy in South Africa’ katika Uwanja wa FNB, Johannesburg, zimeuzwa zote, huku tukio hilo kubwa likitarajiwa kufanyika tarehe 14 Desemba. Hili ni moja ya matukio yanayosubiriwa kwa hamu, ambapo mashabiki wamenunua tiketi kuanzia shilingi 94,000 hadi 800,000...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Atembelea Maonesho Tamasha la Tamaduni

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATEMBELEA MAONESHO TAMASHA LA TAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 22, 2024 amekagua mabanda ya maonesho katika Tamasha la Utamaduni la Tatu la Kitaifa linaoendelea katika Uwanja wa CCM Majimaji Mkoani Ruvuma. Maonesho hayo...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro Atangaza Fursa Lukuki Tamasha la Tatu la Utamaduni

    WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea litatoa fursa lukuki kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma na mikoa ya jirani katika nyanja za kibiashara...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Haya matamasha na marathons kwanini yanafanyika nyumbani kwa viongozi wakubwa tu?

    Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii. Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika kijijini alipotokea Rais Samia. Pia hivi majuzi tulishuhudia Tulia Marathon huko Mbeya alipotokea Spika...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tamasha la Tatu la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Mapema leo Septemba 13, 2024 hapa Manispaa ya Songea, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesalimiana na wanachama wenzake wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi, UWT, na UVCCM. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesema Tukutane Tamasha la Tatu la...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Travis Scott lasababisha tetemeko São Paulo!

    Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la tukio. Mitetemeko hiyo kutoka kwenye tamasha lililouzwa tiketi zote, lililofanyika Allianz Park...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hasssan, Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha la Kitaifa...
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji Qaswida aandaa tamasha Morogoro kusaidia Yatima

    Mwimbaji Qaswida maarufu hapa nchini, Abdulhamid Fannan ameandaa tamasha la kusaidia Yatima na wengine wenye uhitaji litakalofanyika Oktoba 5 mkoani Morogoro. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Fannan alisema katika tamasha hilo atawashirikisha waimbaji mashuhuri kutoka nje ya Tanzania...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Je Samia ametumia Fedha za umma kufadhili Tamasha la kizimkazi au Fedha binafsi?

    Hii HOJA inanitatiza sana, nilisikia Kauli kuwa Tamasha la Mama Kizimkazi limedhaminiwa na Rais Samia, ila nimejaribu kudadavua sijapata kuelewa hata kidogo. Viongozi karibu wote wa serikali wamekuwa wakiita Fedha za bajeti kuu ya serikali kuwa ni Fedha za mama, na kwamba miradi yote ya...
  13. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

    Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40. Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi. Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na...
  14. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  15. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar

    WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR 📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Taasisi zatoa elimu ya utekelezaji wa Sera ya Nishati ya Mwaka 2015 kwenye Tamasha la Kizimkazi

    Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye Kijiji cha Kizimkazi, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar. Katika tamasha hilo la Kizimkazi Wizara na taasisi zinatoa elimu ya...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

    Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha! Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

    Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu. Kuna hili tamasha linafanyika huko. Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika. Yaani watu mamia Kwa mamia...
  19. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba, yanga watimba Zanzibar kunogesha tamasha la kizimkazi

    Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya kirafiki siku hiyo ya kilele Agosti 17, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives...
Back
Top Bottom