Imagine Porsche 911, Ferrari Spyder, Lamborgini Urus, Mercedes Benz AMG G63, Bentley Bentayga na vichenji chenji kina VXR vikicruise mtaani kwa pamoja, mnaenda ChitChat meeting Coco.
Sisi tupo around.
abiria
bei
bei za mafuta
dar
ford
ford ranger
hela
hii
kukagua
kutumia
maana
mafuta
magari
mali
matajiri
reli
reli ya sgr
sana
serikali
sgr
special
swala
tamaa
trc
tuna
usalama
video
wote
zao
Ndugu zangu Watanzania,
Usicheze na magereza hata siku moja . Kule siyo kwa mchezo mchezo,kule hata uwe Nunda kiasi gani utajikuta umebadilika kitabia na kuwa mtu mwema tu utake usitake upende usipende.
Hakuna ujeuri kule wala ubraza men ama ujuaji.
Ona sasa lissu amekaa mwaka mmoja tu lakini...
Tumeshuhudia wanavyonyukana kugombea nani awe na mamlaka ya mali ya umma
Hili ni janga la Afrika ndio maana hadi leo hakuna muungano unaoeleweka
Yale yale ya ukawa na siasa za Tanzania
Bora kubaki na CCM kuna aina fulani ya utu na uungwana kuliko kilichotokea Chadema
Lossu, Heche na...
Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke.
Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi.
Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
Yote mnayoyaona na kuyasikia, msingi wake mkuu ni kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari cha uzi huu.
Wamechafuka na kukataliwa ndani na nje ya nchi na kwa akili zao, CHADEMA ndio wamewaponza, wanasahau ni ulevi wa madaraka na kupuuza madai ya msingi ya wananchi ndio umewafikisha hapo...
Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani...
Ameandika Mch. Peter Msigwa
Historia inaonyesha:
Mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali ,
Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko taasisi rasmi. (Illusion power)
Historia ina mifano mingi sana ya mataifa...
Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm nikiwa mtumishi wa government. Usijikatie tamaa Mungu yupo
Ndugu zangu Watanzania,
Wale wanaharakati uchwara waliokuwa wanafanya uchochezi, kuchochea machafuko ,kutoa kauli za kupandikiza chuki , uchonganishi na uzushi wa kila aina ili kuwahamasisha wananchi kuchoma Taifa letu.
Kwa sasa wamepoteza muelekeo,kusambaratika na kupoteza muelekeo kabisa...
Deni la Taifa ni Trillion 110
Taasisi nyingi wametumbua pesa bila aibu
1. ATCL wamekula pesa, hasara zaidi ya billion 90
ATCL hii haiendeshwi kiuweledi
Kutwa kusafirisha machawa na kubeba bure Yanga na Simba kwanini isipate hasara
2. TRC wamekula mabilion ya fedha
Hii reli inapataje hasara...
Siku baada ya siku sioni dalili ya kutoboa kupitia haya maisha ya kuajiriwa mambo yanazidi kuwa tough familia inaanza kukua kwa mshahara huu wa single digit sina hakika kama kuna kutoboa bila kuchukua action sasa
Kinachouma zaidi kuna watu huo mshahara wako ni per diem ya siku mbili tu aisee...
MATUMAINI:
katika mambo yanayokwamisha mtu kuweza kuendelea ni pale anapokutana na changamoto mbalimbali za maisha hasa pale unapokuta unashindwa kufikia malengo uliyoweka kwa wakati,hali hii moja kwa moja watu huweza kumlaumu Mungu.
Inawezekana umeshapitia magumu fulani na kama hujapitia...
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini.
2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
" Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe yaliyotokea. Wapo waloathirika hata ambao walikuwa hawahusiki na hayo mambo lakini tumeenda kuangamiza...
Binafsi ni mtumishi wa serikali, katika kupambana na kujiongeza nilijaaliwa kuwa na mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kwa sababu ya muda kuwa limited ikanibidi kuwa na mtu wa kuendesha mradi huu awali nilisimamia mwenyewe kwa takribani siku 18 baada ya kuwa likizo sasa siku za likizo zilipo...
Huyu dada kaleta tamaa sana leo, tulishaelewana kua akifika kwenye bustani yangu atacheza kwenye mti/shina tuu lakini hatagusa mengine.
Dada huyu wa kienyeji anaesomea course ya sekretari ameleta tamaa, alipomwaga asali kwenye mti wangu, ameenda kinyume na makubaliano, badala ya kuchezea mti...
Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia,
Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo!
Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu.
Maisha yameniumiza mno.😞
ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa...
Anonymous
Thread
maisha
moyo
mungu
natamani
sana
tamaa
ugonjwa
ugonjwa wa moyo
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia
Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika
kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda.
Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga,
Hapa kwetu siwezi...