Vita dhidiyaujinga
JF-Expert Member
- May 15, 2026
- 339
- 449
Shikamooni,..
Nafikiri njia rahisi ya kudumu kanisani au kwa mchungaji husika iwe ni UWEZO WA HUYO MCHUNGAJI AU KANISA HILO KUKUFANYA UISHI KWA USTADI BILA KUTEGEMEA KUOMBEWA AU KUWEKEWA MIKONO.
Kwaufupi
Mahali qanapojikita kukufundisha kwa maneno na vitendo (UNAONA na wao wameweza wanayosema) huku wakipambana uwe kama wao na ata zaidi yao komaa hapo.
Mfano ambao wengi mtaelewa
Jaribu kufatilia mtindo wa Mch Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya utagundua kitu kati yake na washirika wake na ata wafuasi wake