tajiri

  1. Mstahiki Mea

    Ashinda milion 30 aapa kuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja

    Jamaa kashinda bet kaamua kununua zake bajajj, toyo na boda zake mbili.. anaona maisha kayapatia kishenzi.. anasema tumpe mwaka mmoja tu atakuja kutuajiri kwenye kampuni yake.. watu wazima wanamcheka tu, wanamwambia maisha siyo rahisi hivyo..sasa ninajiuliza dogo amekosea wapi?
  2. a sinner saved by Christ

    Utajiri na mafanikio ya hali na mali

    Tajiri ..!
  3. Red black

    Usijipe stress kama kila siku unapata hizi items 5 wewe ni tajiri Money is an illusion

    Money is an illusion kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
  4. M

    Mwigulu: Nchi hii tajiri, mtu asikutie mashaka, mambo yote yatakwenda

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu...
  5. Prof_Adventure_guide

    Tanzania tajiri, Wananchi maskini– What is going on?

    Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time. Tuna nini? Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni...
  6. Think2

    Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike 2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo utafirisika vibaya. 3. Huruhusiwe kuoa maisha yako yote adi unakufa 4. Huruhusiwi kumpa fedha mama...
  7. stabilityman

    Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

    13 jan 2026 Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani 1.Lala mapema 2.Amka mapema msimulizi 3.Soma kitabu atleast 20dk/siku 4.Fanya mazoezi kila siku 5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi 6.usikate tamaa 7.weka malengo na na...
  8. Mshana Jr

    Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  9. Mshana Jr

    Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  10. Mstahiki Mea

    Kuanzia kiwango hiki wewe ni tajiri

    japo hakuna kiwango cha wazi cha kuanisha tajiri lakini kuanzia kiwango hiki Kwa Tanzania, watu wengi hutumia vipimo hivi kumhesabu mtu kama tajiri 👇 1. Kulingana na Kwa gharama za maisha za kawaida: TSh milioni 1–2 → maisha ya kawaida TSh milioni 3–5 → unaishi vizuri TSh milioni 6–10 →...
  11. Chibike

    Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

    Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu Embu nichagulieni Moja na Mimi,.. Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
  12. Miguel255

    Mjue omba omba Tajiri kuliko wote Duniani

    Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi. Katika jiji la Mumbai nchini India kuna jamaa mmoja anaitwa Bharat Jain. Huyu jamaa ni omba omba maarufu jijini na shughuli...
  13. stakehigh

    Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

    Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini Lakini tafauti kubwa ni Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1 kichwa...
  14. Idugunde

    Gumzo kubwa leo: Uwe masikini au tajiri, hamia Burundi kama hutaki tozo

    Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
  15. H

    Kwanini manabii wasiombee nchi yetu iwe tajiri?

    Mengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk. Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 Nchi yako ni tajiri usikubali thamani yako kuwa 10,000, kitenge, na tisheti kila baada ya miaka 5

    Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana. Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  17. M

    Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  18. M

    Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
  19. Superbug

    Mo Dewj na GSM nani tajiri zaidi?

    Hivi hawa watabe wawili GSM na Mo Dewj ninani tajiri zaidi?
  20. Dalali wa Mjini

    Bahati yako hii Tajiri Beach Kilwa masoko

    Shamba linauzwa KILWA MASOKO Shamba ni Heka 14 Lina hati miliki (Title Deed) Bei milion 150 📱0754693556 nipigie simu nikupeleke.
Back
Top Bottom