taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Alichonijibu huyu tapeli wa mtandao kimenifanya nitafakari mno juu ya Taifa langu Tanzania

    Habari, Leo asubuhi nilipokea ujumbe kwa namba ngeni ukisema "Mbona siku zinakwenda upo kimya" Mwisho kajitambulisha kuwa ni mwenye nyumba. Nikajua tu ni tapeli wa mtandaoni anajaribu bahati huenda akatumiwa pesa na mmoja wa wapangaji wanaodaiwa na wenye nyumba. Nikampigia akapokea simu kwa...
  3. Travis Kitengo

    Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

    Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha. Hali ni mbaya wakuu!
  4. Poppy Hatonn

    Comrade Kawaida wa CCM anavyomwita Rais Samia 'Mama wa Taifa' siyo sahihi

    Huyu Comrade nadhani yupo CCM Morogoro. Anamwita Rais Samia 'Mama wa Taifa',hii siyo sahihi. Yaani, Mama wa Taifa kwa maana ipi? Kwamba Taifa halina Mama wa Taifa na linahitaji Mama wa Taifa,au uupo Mama wa Taifa sasa hivi,na anahitajika kubadilishwa apatikane mwingine. Halafu huyu Comrade...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  6. Ngongo

    Wadhifa wa Mwenezi Taifa CCM ni sawa na DPP, IGP au DCI

    Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania. DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua...
  7. Fundi Madirisha

    Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  8. R

    Ni vigogo gani wanatengeneza jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars? Kwanini dola inaogopa kuwachukulia hatua? Wanalipa kodi?

    Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanahangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania? Mbona kwenye bidhaa nyingine watu huchukuliwa hatua kali za kisheria? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani...
  9. Trainee

    Ukweli usiofundishwa kuhusu rangi za Bendera ya Taifa (Tanzania)

    Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
  10. J

    Yaani CCM ni hatari kwa taifa hili

    Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau kwa wanaCCM na watanzania ni nini. Mtu mwenye tuhuma za kugushi vyeti, mvamizi wa vituo vya tv...
  11. Brain Kingdom

    Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  12. Mto Songwe

    Taifa linaloona Urais ni kupokezana vijiti baina ya wakristo na waislam ni taifa la wajinga

    Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam. Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam. Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini...
  13. 2019

    Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  14. T

    Tulipende Taifa letu na Rais wetu ili Taifa lipate Baraka za Mungu

    Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu. Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi...
  15. A

    DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  16. Doctor Mama Amon

    Kama Mama wa Taifa ni Rais Samia vipi kuhusu Maria Waningu Gabriel Magige Nyerere?

    https://youtu.be/jwNlcsJu8Nw Maria Waningu Gabriel Magige aliyezaliwa 31 December 1930: Kutimiza miaka 94 ifikapo 31 Desemba 2023
  17. Nyankurungu2020

    Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

    SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika. Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa. Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
  18. N

    MUNGU saidia taifa hapo kesho lisihaibike..

    Habari.. Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa. Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho. 1.simba kufungwa goli zaidi 3. 2..umeme kukatika ghafla Wanasema kuna standby generator,ila hofu yangu ipo kwa wanaomkwamisha mama samiha ,nahisi washahonga pesa...
  19. K

    Kumtambua Rais Samia kama Mama wa Taifa ni kujenga familia (nchi) imara

    Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi. Ni muda mrefu nilikuwa nawaza Kwa mazuri anayofanya Rais Samia ni vyema atambuliwe rasmi kama Mama wa...
  20. 2019

    Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana. Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina? Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha...
Back
Top Bottom