taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu. Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na...
  2. Shirika la Bima la Taifa kuingia barabarani kukagua bima za vyombo vya moto imekaaje?

    Habarini wadau, nimeona leo kitu cha kushtua kidogo, Shirika la bima la Taifa (NIC) wameingia barabarani wakishirikiana na Traffic kukagua bima za vyombo vya moto. Hili jambo linakaaje kwa watu binafsi wanaotoa huduma hiyo? Mbona ni kama biashara yao itakuwa ngumu!?
  3. Huenda taifa la Japan likapotea ("Extinction") kutokana na watu kuacha kuzaliana

    Watafiti wanasema huenda Japan likawa taifa la kwanza kupotea duniani kutokana na watu wake kuacha kabisa kuzaliana. Swali la msingi: Ni kwa nini taifa au watu wanavyozidi kuwa matajiri ndivyo wanaogopa kuwa na watoto wengi au kuwa na watoto kabisa?
  4. Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  5. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  6. PreGE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

    Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk. Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
  7. T

    Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
  8. Hivi kumbe Taifa linaweza fika hapa..huu ni Utajiri gani. Sembe!?

    Kwa hali hii.. 5 more years ahead.. Damn . We are Dead. Ana nini cha kulindwa hivi. Watanzania Amkeni .. Wake Upp!!
  9. K

    Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa!

    Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa. Kama kweli mnapenda taifa hili simamieni haki na demokrasia. Waachieni Watanzania wachague watu wao kwa matakwa yao. Msiwaibie kura mafisadi. Jeshi jiulizeni vizuri wenzenu wamekufa huko Congo Je ni lini hao wanasiasa wamewaongelea...
  10. A best way foward: Kwa yanayotokea na hatari iliyopo mbele yetu, tufanye haya kulikomboa Taifa letu.

    Kwa wenye akili, dalili si nzuri kuhusu mustakabali wa Taifa letu katika miaka michache ijayo. It's obvious, tumezidiwa nguvu na maadui watatu aliotutangazia Mwalimu nyerere hasa ujinga. Kushindwa kupambana vizuri na adui ujinga kumeliweka Taifa letu kwenye hatari ya kupotea na kuangamia...
  11. PreGE2025 Naibu katibu UVCCM Taifa, Mwatikinya: Ushindi kwa CCM sio ombi ni lazima. Hakuna Chama kinaweza tatua shida za Wananchi zaidi ya CCM

    Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio ombi. Akizungumza leo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro katika uzinduzi wa kambi la Vijana wa jumuiya...
  12. N

    Marioo balozi mpya Bahati Nasibu ya Taifa

    Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, na fursa zinazoweza kubadilisha maisha ya Watanzania...
  13. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  14. J

    Inakuaje Kabudi anatangaza nyimbo zinazohamasisha usodoma kuwa alama ya taifa? Maadili yetu yanaelekea wapi?

    Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
  15. X

    Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, kihistoria ni kawaida ya Marekani. Sio taifa la kuliamini kwa 100% Tujikumbushe kidogo

    Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono. Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani. Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
  16. R

    KERO Chuo cha Afya Tabora EA polytecnic kinalazimisha wanafunzi kumaliza ada semester ya kwanza

    CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi mtihani hata kama wamebakiza elfu mbili tu. Tunajua kwamba ada ndo inalipia gharama mbalimbali...
  17. Viongozi wa nchi za kiarabu kumwambia Trump hatutaki kumezidi kuivunjia heshima Marekani iliyokuwa taifa kubwa

    Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani. Tukio la hapo juzi lina sura kama ndio mara ya mwanzo kwa mataifa hayo kupingana na mipango inayotoka nchi za...
  18. K

    Kimsingi watumishi wa Umma wanaopigia kura CCM wanalitendea haki Taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao. Kipekee ninatambua kura ni Siri ya mtu na mpiga kura halazimishwi wala hashurutishwi kukipigia Chama...
  19. Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  20. Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450. Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…