taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  2. M

    Historia: Je, wajua historia ya taifa la Thamud? kwanini watu wa mji huu waliangamizwa na Mungu?

    Amani itawale. Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo. Ni watu waliokuwa na nguvu sana na utimaku wa viwiliwili ,walikuwa na maarifa mengi ya ujenzi kiasi kwamba majumba yao waliyajenga kwa...
  3. Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

    Hii ni huko London,
  4. PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  5. Deni la Taifa ni deni la Tanzania sio Zanzibar!.

    .. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania, Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu Hivi karibun CAG wa Zanzibar watasoma report ya Zanzibar na Wazanzibar kuhusu deni lao la Taifa La nchi...
  6. L

    PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  7. Mazingira ya ukuaji wa deni la taifa

    deni la taifa mpaka sasa limekishwa kufikia asirimia 97 ambayo ni sambamba na sifa za mchi zisizo weza kukopesheka kwa baadae kama tu halito rejeshwa kwa wakati. nini sababu za kukua kwa deni hilo. kuna sababu kadha wa kadha, na miongoni mwake ni kama; 01 Rais kukosa washauri wazuri na...
  8. Katavi kuungwa kwenye gridi ya Taifa

    KATAVI KUUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeokoa kiasi cha Shilingi Bilioni 58.4 ambazo awali zilikuwa gharama zikitumika kwa mwaka kuzalisha umeme kwa mafuta ya dizeli Mkoani Kigoma. Shirika litaokoa kiasi cha shilingi bilioni 24.7 kwa kuunga Mkoa wa Katavi...
  9. SI KWELI Burkina Faso yalipa deni lote la taifa

    Huku kwetu kila kukicha deni linazidi kupaa na maisha kuzidi kuwa magumu. Na hapo tunajinasibu kuwa na amani na utulivu. Burkina Faso mbali ya kuwa katika machafuko kwa muda mrefu, kwa miaka 2 tu Traore kaweza kulipa deni la taifa la Dola Bil. 4. Halafu Tanzania Wasira anajisifu kuwa deni ni...
  10. PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  11. Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

    Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi. Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na...
  12. Zetrovert aina hii ya watu ni Hazina kubwa sana kwa JF na Taifa kwa Ujumla. Waheshimiwe

    Ni watu washali sana wanapenda ugomvi na malumbano hawawezi kaa sehemu kwa amani. Wapo kwenye nyuzi za watu kuharibu na kuchafua hali ya hewa. Haipiti siku hawajagombana na mtu au kupigwa ban kwa mwezi huwa ni kawaida tu kwao. Hawa kitaalamu wanaitwa zetrovert. Ni wababe wanakuwa na akili...
  13. Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  14. Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  15. Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  16. Udhamini wa GSM unavyoathiri kiwango cha Taifa Stats

    Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje. Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu. Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga...
  17. Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  18. Historia ya taifa la Israel

    1. Utangulizi Historia ya taifa la Israeli ni ya kipekee, ikiwa na mchanganyiko wa imani, vita, uhamisho, na marejeo ya kiroho. Waisrael, watu wa Mungu, walikulia katika mazingira ya kihistoria ya Mashariki ya Kati, na hadithi yao inaanza na hadithi ya uumbaji na mkataba wa Mungu na baba zao...
  19. Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

    Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani. Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku. Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
  20. Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…