taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

    Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali. Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taifa tunalipoteza hivihivi kwa kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi

    Walionywa hawakusikia, waliulizwa mambo serious wakatoa majibu mepesi. Wanaambiwa nchi inaibiwa wanatoa majibu ya kejeri na kuudhi, wakadiriki hadi kujitungia sheria za kulipa mafao wake wa wenza ilihali wamama wajawawazito wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora za afya, watoto hawana...
  4. JamiiForums Tanzania MCh. Carlos R.W.Kirimbai: Ujumbe kwa Taifa la Tanzania juu ya athari ya damu isiyo na hatia inayomwagwa na binadamu wengine katika nchi yetu

    Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania; Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika. Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
  5. JamiiForums Tanzania Tulipofikia kama taifa

    Wale wenye majukumu ya kusafisha image ya taifa wameamua kuchukua hii kama njia ya kumaliza utata 😂
  6. JamiiForums Tanzania Vilabu vya Mpira Vimetusaliti: Wapi Uzalendo Wetu Wakati Taifa Linalia?

    Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi. Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

    GT Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
  10. JamiiForums Tanzania Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  11. JamiiForums Tanzania Nani wa kuliponya taifa?

    Taifa limepondeka, Taifa lina majonzi, Taifa liko katika simanzi zito. Watanzania wengi wana majonzi, vilio kila kona, wanaomboleza kila kona. Simanzi na masikitiko vimejaa katika vifua vyao. Wapendwa wao wametoweka, hawatawaona tena asilani. Wengine hawajulikani walipo (hatujui wako hai au...
  12. JamiiForums Tanzania Je tunaweza kuanza mchakato wa kubadili jina la taifa letu?

    Naona aibu Naona haya Naona soni Naona taabu Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama...
  13. JamiiForums Tanzania Gamondi Ateuliwa Kocha Mkuu Taifa Stars, Hemed Moroko Atimuliwa

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Taifa limetoboka, kila mmoja anajiona hadi ndani

    Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi. Mahospitalini kumejaa maiti kitaa kumejaa maiti Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa matibabu ,wanaogopa kwenda hata mahospitali kwa kuogopa kumaliziwa . Wengine wanaogopa kujitokeza...
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania Wameshinda na wamekataa Kuliangamiza Taifa Lao

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine Tena Tanzania na watanzania wamekataa na kugoma kabisa kuiangamiza Tanzania ,wamekataa kuchoma moto Taifa,wamekataa kuvuruga amani ya Taifa letu,wamekataa kuigeuza Tanzania kuwa Gaza, Wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa fujo,wamekataa kuifanya...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  17. JamiiForums Tanzania I had a second dream, nimeota tena tukichelewa tunaweza kuchukua miaka kuliponya Taifa

    Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa wazee wa makamo wakiwa kwenye harakati nzito kana kwamba ni vurugu zilizo anza watu hawa hawasikii...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasaliti Wakuu Wa Taifa la Tanzania Waliolitumbukiza Kwenye Machafuko ya Mwaka 2025!

    Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Samia Suluhu Hassan 3. Hamza Johari (Attorney General) 4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Huyu Samia ana tabia kama za Milton Obote. Kwanini hajitokezi na kulituliza Taifa? Je, hajali, au hana uwezo?

    ..hivi ni kwamba hana uwezo? ..au hajali haya yanayoendelea? ..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi? NB: ..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais. Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…