taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    GE2025 Kanisa Katoliki kuliombea Taifa kwa siku tisa

    Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadeus Ruai'chi ameagiza katika Parokia zote na Asasi zote katika Jimbo Kuu la Dar es Salaam ifanyike Novena ya siku tisa (9) kuomba Haki na Amani kuanzia Agosti 15 -23, 2025. Askofu Mkuu ameelekeza kwamba Novena hiyo iambatane na kuabudu Ekaristi...
  2. Lord Denning

    GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

    Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu. Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
  3. tonicimmobility

    GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza ratiba ya vyama 14 kuchukua fomu za urais

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma. Soma...
  4. Z

    Kwa hali ilivyo ,tungehairisha Uchaguzi kwa mstakabali mwema wa taifa letu.

    Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote. Wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE, Wananchi hawa wanaweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha. La pili ni kwamba wapinzani wa...
  5. McLaren

    GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

    Wakuu, Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa. Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
  6. ngara23

    Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
  7. GENTAMYCINE

    Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
  8. GENTAMYCINE

    Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

    Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha. Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane. Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana. Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
  9. Ernst kipire

    Nyerere alibainisha maadui wa Taifa letu kuwa ni Ujinga,umaskini na maradhi.Mimi naongeza na uchawi

    Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh). Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama Taifa tunatakiwa Kuwa piga vita maadui zetu watatu (3) ambao ni Ujinga,maradhi na umaskini. Leo...
  10. Mto wa mbu

    GE2025 What a shame, Taifa litapoteza 1 trillion Kwa uchaguzi wa Samia Vs Salum Mwalimu

    Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu. Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader. Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong...
  11. 0

    Taifa Starz ni SSH 11

    Uzi tayari, Now back to kupiga pini No Reforms No Elections Oktoba tunalinda Kura zetu Nyumbani!
  12. matunduizi

    Kama taifa tukatae Tabia ya kutakiana vifo na umauti. Hii inachafua angahewa la nchi

    Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo. Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu. Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu...
  13. Z

    Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  14. Tlaatlaah

    Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  15. Genius Man

    Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka

    Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka. Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki. Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
  16. Ex Spy

    Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  17. Kazanazo

    Ifunze familia yako maadili mema utainusuru jamii inayokuzunguuka na Taifa kwa ujumla

    Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya hivyo katika eneo analoishi jamii nzima itakuwa na maadili mema na yanayofaa katika jamii na taifa kwa...
  18. P

    MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
  19. S

    Lawama dhidi ya Kikwete ni halisi ama tunacheza ngoma tusiyoijua?

    Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake? Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni...
  20. Mwande na Mndewa

    Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
Back
Top Bottom