taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  2. JamiiForums Tanzania Kocha mkuu wa timu ya miguu ya Taifa ni nani?

    Mechi iliyopita kati yetu na E. Guinea ambayo tulitunguliwa dakika za mwishoni kwa goli moja, kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Matola ndo alikuwa kwenye mstari wa kutoa maelekezo kama kocha mkuu. Sasa najiuliza nani kocha mkuu wa timu yetu wakati tuliambiwa ni Kim Poulsen?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya mpira wa miguu

    Binafsi nilifuatilia mchezo baina ya Tanzania na Guinea ya Ikweta. Niseme kutoka rohoni hatuna timu ya Taifa. Mchezo waliocheza siku ile ni mbovu sana. Naishauri TFF kwanza tujitoe kwenye michezo ya Kimataifa. Tusuke timu kwanza ndipo turudi kwenye mashindano. Rais wa TFF ajiuzulu na tangu...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

    ORODHA YA WAKURUGENZI WAKUU WA 'TISS' TANGU UHURU. Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tuamke Watanzania na kwa umoja tuliombee taifa letu

    Habari zenu wakuu JF. Kwanza kabisa nitoe pole zangu watanzania wenzangu kwa upande wa bara na visiwani na kwa Wote walioguswa na Msiba Wa Raisi wetu John Joseph Pombe Magufuli. Ni wazi kuna mambo mengi ameyafanya ambayo kwa namna moja ni sawa na anastahili pongezi kwa jinsi Mungu alivyomtumia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu tukiendelea kuwa na kiburi cha uzima na madaraka Taifa litapasuka vipande

    Wengi wetu niwaumini wa dini mbalimbali na tumefikia hatua kila jambo baya au zuri tunamtaja Mwenyenzi Mungu, nipongeze kwa ilo. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba tunamkosea sana Mwenyenzi Mungu na tunaweza tukawa tunamkasirisha sana kwa matendo tunayoyafanya hasa kwakuyafanya maisha yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

    Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
  8. JamiiForums Tanzania Akili za mjinga: kwenye huu msiba wa taifa sijaona watu wakipewa msosi na hamna complain, huku kwetu swahili bila menu msiba unabaki peke yako

    Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wachache wanaojitoa kuelezea mapungufu ya Magufuli, wana msaada mkubwa kwa Taifa kuliko mamia au maelfu walio huru kueleza mazuri yake

    Habari wakuu, Ni hivi: Ingekuwa ni jambo la hatari sana kama kila mtu angejitoa akili (angejisahaulisha) kuhusu mapungufu ya Marehemu Magufuli na utawala wake na kisha wote tungeungana katika kusifu pamoja na kuendesha hizi propaganda zinazoendelea kwa kutumia vyombo vya habari. Ukweli ni...
  10. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

    TUMETOLEWA RASMI!!!! Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA 1. CHUPU CHUPU 2. MANULA ANATUSAVE 3. MWAMBA. KIPINDI CHA PILI ASANYE MANULA VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA MSUVA...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyemrudisha Kim Poulsen kuwa kocha wa Taifa Stars amelenga nini?

    Kiukweli bado sijaelewa kabisa kisa cha Kim Poulsen kupewa kazi ya kufundisha Timu ya Taifa, Aliyempa kazi hiyo ni nani na alilenga nini?
  12. JamiiForums Tanzania Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

    Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini? Je, Taifa Lina mababa wawili? Je, Nyerere kawa babu wa Taifa? Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu? Naombeni tusaidiane majawabu
  13. JamiiForums Tanzania Shujaa wa Taifa au alikuwa Kiongozi wa kiimla?

    Miaka ya tisini nikiwa bado kijana mchakalikaji nilikuwa mtu wa kusafiri sana na katika safari zangu nje ya nchi nilikuwa na kutana na raia wa nchi mbalimbali na mojawapo ni nchi ya Kenya. Siku moja nilikuwa na napiga story na Wakenya juu ya Rais wa Kenya wakati huo Daniel Arap Moi. Na mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  15. JamiiForums Tanzania Vitisho havijawahi kuleta 'Upendo' na Umoja ndani ya Taifa

    VITISHO HAVIJAWAHI KULETA UPENDO NA UMOJA NDANI YA TAIFA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Nianze kwa Kumshukuru Mungu mwenye uweza, huyo aliyeumba mbingu na nchi. Sifa njema zimfikie yeye pekee wala hakuna mwingine zaidi yake. Suala la vitisho ni suala la kawaida sana hasa katika jamii ya watu...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Rais Mama Samia anahitaji kukuunganisha Taifa turudi kwenye misingi ya Utu, basi Mwigulu Nchemba hafai kuwa VP wala PM

    Wasalaam wanajukwaa! Siku wakati Rais mpya Mama Samia Suluhu anaapishwa kua Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alisisitiza turudi kuungana kua taifa moja na tuzidi kupenda tusahau yaliyopita na tugange yajayo. Ndugu yetu Mwigulu Nchemba naye jina lake linatajwa kiasi flani katika wale...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata ya Polisi kipindi hiki inalichafua Taifa

    Mimi Ni mwalimu mstaafu, enzi tunasoma tulikuwa tunafundishwa zaidi kufahamu saikologia ya mwanafunzi. Mfano, ukiwa unafundisha ukabaini yapo Mambo usiyoyajua kitaalamu lakini unaamini wapo wanafunzi wanayafahamu unaelekezwa kutumia mfumo wa mswali na kupitia hayo maswali wewe utajifunza na...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa usalama wa taifa wa zaire afariki

    honore ngbanda nzambo ko atumba ni jina alilojipa wakati wa aunthetication policy miaka ya 70 lakini jina walilompa wandishi wa habari wa marekani ni the terminator huyu alikuwa mkuu wa usalama wa taifa wa zaire na baadaye aliteuliwa na mobutu kuwa mshauri wake wa maswala ya usalama akiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Waliomfuata ni..... Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania. Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania. All - Rounder ( alias...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…