taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tuache Uchale, Chaplin, taifa ni letu sote

    Takribani week 3 hivi, toka Godbless Lema atoe maoni yake juu ya bodaboda! Wapo waliompongeza na wapo waliomkebehi. Suala hili liliwahi pia kuongelewa na Edward Ngoyay Lowassa (waziri mkuu mstaafu) lakini yy alieenda mbali zaidi ila ujumbe ni uleule. Tuache Uchale Chaplin, taifa ni letu sote...
  3. JamiiForums Tanzania TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui? TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo. Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Mpango kabambe; Taifa litambe

    MPANGO KABAMBE; TAIFA LITAMBE! Anaandika, Robert Heriel Mastermind Ilisemwa taifa ili liendelee linahitaji mambo makuu manne, i) Watu ii) Ardhi iii) Siasa Safi iv) Uongozi Bora. Hayo yalikuwa mawazo ya Mwl. Nyerere. Watu wapo, Ardhi Ipo, sina uhakika kwenye Siasa Safi na Uongozi Bora. Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya usindikaji kinyesi cha wanyama (Biogas)na ukatikaji wa umeme uwanja wa taifa!

    Wakuu Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati. Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Feisal Taifa litakusahau Ukipotoshwa

    Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati wenzake wanarudi katika timu zao yeye anarudi mtaani......." Kuna hesabu dogo alipigiwa, na ndo hizi mbanga zimemfikisha hapa
  7. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mayele azidi kukita mizizi katika kikosi cha Taifa la Kongo

    Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani Na Kwa jinsi alivyocheza na mwitikio wa kocha wake,naona milango ya mshambuliaji huyu ikizidi kufunguka NB: Kuna Mayele...
  9. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa stars alishinikizwa kupanga kikosi?

    Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile? Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye kikosi na nani kwasababu zipi? Kikosi kilichocheza kule Misri kilikuwa na madhaifu gani yaliyowahitaji...
  10. JamiiForums Tanzania Taifa Stars, kwanini tunataka kuvuna bila kupanda?

    Kila mara inapocheza Taifa stars huwa nashangaa jinsi watu wazima wenye akili wakiwa busy kusubiri kuvuna sehemu ambapo hatujawahi kupanda kabisa. Binafsi huwa sifatilii kabisa mechi za stars na huwa sishangai tukifungwa, hata kama tukiweza kubahatisha kwenda AFCON tutaenda kufungwa nyingi na...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi anayocheza Samatta pale Taifa Stars awe anawekwa Kibu Denis

    Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya. Huyu Samatta ameshapitwa na wakati.. hana chochote anachoiongezea timu awapo uwanjani.. Kibu anaweza kufanya link ya viungo...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimefurahi sana Taifa Stars Kufungwa ili Pesa zako zikasaidie hasa Watu wenye Uhitaji na siyo Goigoi wa Viwanjani

    GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba. Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka...
  13. JamiiForums Tanzania Mlionidhihaki nilipofumba kuwa leo Taifa Stars itafungwa na Uganda rudini tena mnidhihaki

    Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu" Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Saudia kuja Tanzania ni habari nzuri kwa taifa, Sio mbaya kwa ATC

    Watanzania ni lazima waeleweshwe vizuri. Biashara ya Ndege haina faida. Biashara ya Ndege ya ATC faida yake ni kusaidia biashara nyingine muhimu kama utalii na mizigo kama ya kilimo, Maua na mifugo. Sasa kuna wasomi wengi nashangaa wana lalama eti ndege ya saudi ambayo itakuja kuchukuwa mizigo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

    Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike. Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za...
  16. JamiiForums Tanzania Inastaajabisha! Siasa majitaka na uchawa zinadidimiza Taifa hili

    Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia kiwanda chake cha Magari cha Kiira Motors LTD, Mwaka 2018 ilianza rasmi kuzalisha mabasi yanayotumia...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Miaka 6 hatukuona wala kusikia ugonjwa wa Kipindupindu, hii ni aibu kwa Taifa

    Hakuna neno zuri unaloweza kutumia zaidi ya aibu! Aibu! Aibu! tena aibu kubwa. Serikali kupitia Wizara ya afya imeutangazia Dunia hadharani kuwa ugonjwa wa kula kinyesi cha binadamu (kipindupindu) kimerejea nchini na tayari kuna wagonjwa 72 na 3 kati yao tayari wamekufa. Kwamba ugonjwa huo uko...
  18. JamiiForums Tanzania Mlionidhihaki na Kutoniamini niliposema akina Kapombe na Hussein watarudishwa Taifa Stars Timu ikirejea kutoka Misri mpo wapi?

    Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa kama nilivyosema na wako Kikosini ( Kambini ) sasa. Jamani sikutwaa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

    Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022? Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

    Tizama Video hii ya Rais wa fiji akiwa amevalia sketi na koti daah ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…