taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  2. JamiiForums Tanzania Mchezaji bora kwa Jana upande wa Taifa Stars - angalau aliyejitahidi

    Sijui ingawa mimi ni upande ule mwingine kwa hili naweza kubali
  3. JamiiForums Tanzania Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

    Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani. Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku. Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
  4. JamiiForums Tanzania Samatta, Manula watemwa, Kelvin John arejeshwa Taifa Stars inayoenda kuwavaa Morocco mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji kutoka klabu mbalimbali za ndani na nje ya nchi...
  5. JamiiForums Tanzania WACHOKONOZI: Watanzania wasusie mechi zote za Taifa Stars

    Kupitia video yao ya leo vijana hawa wametoa wito kwa watanzania kususia mechi zote za timu ya taifa maana TFF inawachezea akili. Akikazia zaidi, mchokonozi mmoja anayefahamika kama Joseph Mrindoko amesema kuwa viongozi wa TFF ni Wasen.g.e. Anzia dakika ya 5:20. Ni upi mtazamo wako...
  6. JamiiForums Tanzania Aziz Ki apewe Uraia wa Tanzania ili aitumikie Taifa Stars

    Mchezaji nguli mwenye asili ya Bukinabe, mume halali wa ex wa Chibu apewe Uraia ili Taifa stars utumie bila nawaza. Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Wachezaji Bora hawawezi kubadili uraia ili kucheza Taifa Stars

    Acha na vigezo vingine kutoka FIFA Wachezaji wanaobadili uraia ni makapi yaliyotemwa Africa Magharibi ambao hata hawatambuliki kama wanafanya kazi ya kucheza mpira labda mataifa Yao wanajua ni vibarua tu Kwa mfano 1.Azizi ki - Burkina Faso Huyo hata umpe mbuga ya Serengeti, hawezi kukubali...
  8. JamiiForums Tanzania Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu

    Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini magoli kipa wengi wa Taifa stars hutokea Simba?

    Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam. Kitaalam hiyo hutokana na nini?
  10. JamiiForums Tanzania Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania Micky Jnr kwa kuipakaza Taifa Stars

    Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza iondolewe kwenye mashindano ya mpira wa miguu ya AFCON yajayo huko Morocco. Kama Taifa ni lazima...
  11. JamiiForums Tanzania Kipindi Rais unaendelea kutoa mapesa kwa Taifa Stars, tukumbuke wakulima wa mpunga na mahindi ambao tumeuza mazao yetu NRFA

    Tuliahidiwa malipo ndani ya week mbili sasa inaenda miezi, huku ukitoa mapesa kwa taifa stars, roho inatuuma sana, na sisi tukumbuke. Pia soma - KERO - NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati mwaka 2024/2025. Haya ni mateso na uonevu
  12. JamiiForums Tanzania Hemed Morocco hatoshi kuwa Coach wa Taifa stars AFCON

    Najua Watanzania ni watu wa matukio Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu Huko AFCON tunaenda kutia aibu Tutafungwa magoli si chini ya 5 kila mechi Timu yetu inacheza kama...
  13. JamiiForums Tanzania Wito kwa Taifa Stars

    Mmecheza vizuri, kwa yoyote anaejua mpira atakubaliana na mimi kwamba timu iliyokua bora uwanjani ndio imeshinda. Kuna masuala madogo madogo naamini yatafanyiwa kazi kazi la kwanza kabisa ni usahihi wa kumalizia nafasi zinazopatikana. Ninachotaka kusema ni kwamba uko tunapoenda wachezaji...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Kutoa Milioni 700 kwa Taifa Stars ni Jambo la Busara?

    Tangu jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipotangaza zawadi ya Shilingi Milioni 700 kwa timu ya taifa ya Taifa Stars baada ya kufuzu kwa mara ya nne mfululizo kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mjadala mkubwa umeibuka. Watu wengi...
  15. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba SC tunajivunia pakubwa, makocha wote walioipeleka Taifa Stars AFCON wanadamu ya Simba SC

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?

    Wakuu Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji waliocheza mechi za mwisho dhidi ya Ethiopia na Guinea pekee, au inajumuisha wachezaji wote...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

    Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu. Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida. Ajabu ni kuwa hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania TFF vunjeni benchi la ufundi la Taifa Stars

    Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa. Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
  19. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Taifa Stars mtumieni Rais Samia sasa 2024 na 2025, kwani kuanzia 2026 msitegemee kuona akiwasaidia kwa lolote lile

    Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

    Wakuu, Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox! Pia soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…