The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.
Kipa Aishi Manula amerejea rasmi katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya FIFA Series 2026.
Orodha hiyo iliyotangazwa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inajumuisha mchanganyiko wa wachezaji wa ndani na wanaocheza nje...
Nimeshuhudia mapokezi ya leo ya Taifa Stars. Kwa maandalizi na ukubwa wa tukio, ni kana kwamba wamechukua ubingwa wa AFCON, ilhali walishia hatua ya 16 bora, na hata kufika hapo walipata nafasi kupitia best losers.
Sasa swali linabaki: gharama zote za maandalizi haya zimetoka kwenye bajeti ipi...
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,
Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari...
Congrats Mr Gamondi.
Nimekupenda bure mkuu. Najua Morocco wamechanganyikiwa vibaya, aisee.
Mkuu mwezi mmoja tu umeweza kuwaunganisha timu. Waendelee hivyo, aisee.
Eng, embu tujaribu tena kama huyu Banaa ataanza kuzingua.
J. Kiwelooo.
Na yule shehe wenu wa Tanga hahaha.
Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati.
Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao wamezikwa wapi, na wengine waliouwawa kufuatwa majumbani kuchukuliwa na kuuwawa pasipo kushiriki...
1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia...
Hongera Samia kwa kuwezesha Taifa Stars kufuzu mpambano wa ubingwa wa soka Afrika.
Bila uwezo wako wa ajabu wa kutenda miujiza, haya yangetokeaje? Nakushukuru sana rais.
Hawa Taifa Stars wanapaswa kukupongeza wewe na siyo wewe kuwapongeza. Maana, kila walipokuwaza, nguvu zao za kimwili...
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.
Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
Kwakweli sijapenda..
Sijafurahishwa kabisa..
Tumeshaanza kuona Samuya akipewa sifa zote..
Tayari utasikia mama this mama that..
Huyo Bashite ndio balaa atajisifu kama nini.
Kifupi CCM wanachukua point tena sijapenda kabisa..
Hiyo tarehe 4 ifike haraka Morocco amalize hizi kelele..
Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora
Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best losers
iNEC kama wataalam wa kufanikisha ushindi ni hazina Kwa Taifa fanyeni jambo pale Morocco
Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi ya timu ya Taifa.
Msuba amefikia rekodi hiyo kwa kufunga kwa njia ya penati katika mchezo...
Binafsi ni mpenzi wa football
Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria
Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6
Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana lishe yaani mbegu mbaya
Nadhani serikali iangazie lishe za watoto wakiwa wadogo ili kujenga miili...
Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni...
Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale.
Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea.
Asante.
Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.