Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ...
Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa matajiri wanasoma shule zinazoitwa za njano.
Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na...
Hamjambo wote!
1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu.
2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza.
3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache.
4. Ukosoaji uendelee sambamba na suluhu kwa Kila ukosoaji.
Haina maana kukosoa bila kutoa suluhu kwa kile...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo,
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/tumuombee-rais-tuliombee-taifa-5362604
Pia soma Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?.
Na...
Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, ametoa onyo kali dhidi ya kile alichokiita "ujinga na maigizo" ya baadhi ya viongozi wanaojaribu kuingiza siasa ndani ya Kanisa Katoliki.
Akizungumza kwa ukali kuhusu taratibu za kikanisa, Askofu Rweyongeza amewashangaa...
Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali
Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni
Umaskini na njaa
Kodi kubwa
Kokosekana Kwa haki na usawa
Kuupuuza matatizo ya wananchi
Kwa upande wa kiongozi wa...
Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm.
Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na...
Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!?
Naamini mpo salama kabisa.
Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko.
Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo.
Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko...
Wakuu hamjambo!!?
Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika
Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
anafanya
dar
dar es salaam
genocide
hii
hotuba
hotuba ya rais samia
kazi
kitima
kitu
kusikiliza
majangili
mass killings
nzito
rc chalamila
taarabu
taifataifaletu
wakati
wanawake
wanawake wa dar
wazee
wazee wa dar
Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia.
MUNGU akawe mfariji katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Roho za Marehemu zilale mahali pemq peponi
Nyakati kama hizi haziepukiki. Taifa linazeeka na linahitaji Reforms. Kama waasisi wa Reforms walidhani itabakia kwenye tafsiri zao, basi walikosea sana. Reforms ni OVERHAUL. Hakuna cha Ceteris paribus. Mabadiliko yasipowagusa ni kazi bure. Sio suala la mvinyo mpya, chupa ya zamani.
Hata baadhi...
Naona aibu
Naona haya
Naona soni
Naona taabu
Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji
Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama...
Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa.
Rejea mada tajwa hapo juu,
Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo.
1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
1. Utekaji na Uuaji
Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi?
Mnaogopa nini hadi kufikia hatua ya kuua na kuteka watu wanaohoji mfumo wenu?
2. Utawala wa Sheria
Kama kweli mnajivunia...
Tafsiri ya INTEGRATION ni kuwa NIDA ipo connected na mfumo wa NEC + CCM maana yake hata mfumo wa migration kwenye passport upo connected , upo connected na mfumo wa Utumishi and likely na mfumo biashara kupitia Brela.
Ukisafiri kwenda nje .. ukiweka tu fingerprint...system ya airport inasema...
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe:
✅ Wa amani – Usio na vurugu wala chuki
✅ Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe
✅ Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja...
Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote.
Wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE, Wananchi hawa wanaweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha.
La pili ni kwamba wapinzani wa...
Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh).
Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama Taifa tunatakiwa
Kuwa piga vita maadui zetu watatu (3) ambao ni Ujinga,maradhi na umaskini.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.