tafakuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Tafakuri ya Idu: Dk Nchimbi amewathibitishia watanzania kuwa CCM inanyanyasa upinzani kwa kutumia mabavu.

    Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama. Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga. Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA ambao hawana hata makosa Green guard wa CCM kuwa wanabeba siraha wakati...
  2. Mgirik

    Tafakuri yangu ndogo

    Kila jambo litatimia kwa wakati wake.
  3. Msanii

    Tafakuri: Mambo 10 ya kujifunza baada ya USA kumnyakua rais Maduro wa Venezuela

    VIDEO: Wananchi wa Venezuela wakishangilia anguko la Maduro na genge lake madarakani Great Thinkers, nawakaribisha tuchambue tukio la kukamatwa rais Nicholaus Mafuro wa Venezuela Marekani akikutaka atakunyakua tu hata kama Uwe na Ulinzi mkali kiasi gani, yeye atakutwaa tu akikutaka. Ushirika...
  4. ELI COHEN

    Katika wapumbavu mia angalau muweni welevu wawili wenye kuendeshwa na utashi na tafakuri binafsi bila mihemuko na trend

  5. Hekari

    Tafakuri na Kandaka binti wa ardhi ys Nubia, Tanzania imekataa

    Hali ya ukungu na baridi kiasi ulioitawala June 6 2019 haikuzuia misafara isiyoisha ya magari ya jeshi katika mji wa khartoum. na kila walipopita nyuma waliacha miili ya mamia ya raia imelala katika Kila Kona ya mji huo ikiwa imeondokewa na baraka ya uhai. Hapa wananchi wakaanza kuiona adha ya...
  6. ELI COHEN

    Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  7. K

    PostGE2025 Tafakuri ya Waraka wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)

    TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC) ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025 Mwandishi, H.M Mponda (Msema Kweli) MA, Digital International Relations & Diplomacy Mtanzania Mzalendo. Utangulizi. Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
  8. Damaso

    Ulimbukeni wa Mitandao: Mama Amina na Tafakuri ya Kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa chombo kikuu cha mawasiliano, burudani na hata ajira duniani kote. Hata hivyo, kwa Afrika hususani Tanzania, mitandao hiyo mara nyingi inageuzwa uwanja wa vituko badala ya majukwaa ya kujifunza na kujenga jamii. Katika siku za hivi karibuni kuna binti anayejulikana...
  9. I

    Tafakuri ya kina ya No Reforms, No Election

    Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu, Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
  10. The silent smile

    Kuna baadhi ya jumbe kwenye vyombo vya usafiri vina maana na tafakuri kubwa sana, Ona huu

    Habari wadau, Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno, za kuelimisha, za kukumbusha na hata za kuchekesha. Hivi karibuni nimekutana na ujumbe mmoja...
  11. Mshana Jr

    Tafakuri ya picha

  12. Mangi Meno

    Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  13. R

    Tafakuri: Mitano ya Magu na mitano ya Samia ipi imeenda Kasi zaidi?

    Salaam, Wazoefu husema kuwa miaka huwa inatofautiana urefu, japo Mimi sikubaliani nao maana siku ni zile zile, Labda hili naweza kukubaliana nalo, kwamba, siku au mwaka ambao umepitia shida au taabu huenda Pole Pole sana, kwamba unapopitia taabu kiuchumi, kisiasa,kijamii, siku na miaka hiyo...
  14. Bigmaaan

    Swali la Tafakuri!

    Hivi, vikundi kama IRI, Humas, Umkhontho We Sinzwe n.k, huwa vinazaliwa kutokana na mazingira gani?
  15. Alloyce PR

    Tafakuri ya mwafrika

    "Waafrika wengi tumepewa zawadi ya kufikiri, lakini tunaikabidhi kwa viongozi wa dini kama sadaka, kisha tunalalamika tunapopotezwa hata katika mambo yanayohitaji akili tu, si maombi ya kufunga." — Alloyce, P.R.
  16. Daby

    Tafakuri: Wanawake waliojitosheleza kimaisha hawawezi kuwa-submissive kwa mwanaume kimapenzi.(sita kwa sita)

    Hii dhana nimekuwa naiskia saana mitaani. Nimeishuhudia pia kwa rafiki zangu. Leo hatungumzii mwanamke kumheshimu na kujinyenyekeza kwa mmewake. Ila tuongelee Sita kwa Sita. Mkiwa Sita kwa Sita ili kila mmoja aenjoy ni lazima mwanamke awe submissive. Hii ni nature.....ukimwambia tanua...
  17. Alloyce PR

    Jarida la Tafakuri ya Taifa

    TOLEO MAALUM – APRILI 2025 JE, KUNA DALILI ZA MAKUSUDI ZA KUHUJUMU UTHABITI WA TAIFA LETU? Katika kipindi ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa za kimkakati katika ujenzi wa miundombinu, uendelezaji wa sekta binafsi, na kuimarisha mapato ya ndani kupitia mageuzi ya kiuchumi na utawala bora...
  18. H

    Tafakuri za nguvu kwa wafia dini za kuja

    Mwanafalsafa wa Amerika na Profesa Noam Chomsky, akiwa na umri wa miaka 95 anagundus:- Katika maisha ya Wafia dini wa Kiafrika zipo tafakari zenye nguvu ili kuachana na fikira za kiti cha enzi cha maneno dhana ambayo inatakiwa iwekwe wazi juu ya mifumo ya ulimwengu, ni pamoja na:- "Hakuna nchi...
  19. B

    Tafakuri ya Kibiblia: Kwanini mfalme Nebkadineza aliwalilia akina Meshaki na Abedenego na Mfalme Dario alimlilia Daniel. Wakati wao ndio waliwafunga?

    Utangulizi. Habari hizi za Mfalme wa Babeli Nebkadineza na Mfalme Dario( Darius) wa Waajemi na Wamedi zinapatikana ktk Biblia Kitabu cha Daniel sura ya 1, 2, 3 na 6. Tangu dunia imekuwepo kumewahi kuwa na falme kubwa nne zilizotikisa dunia nazo ni Ufalme wa Babeli Ufalme wa Waamedi na Waajemi...
  20. mcTobby

    Tafakuri yangu juu ya hii report ya CAG

    Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula pale kamba yake ilipofikia kwa sababu walaji wanaamini in the next government (Mungu ajaalie)...
Back
Top Bottom