tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KEKO JUU

    Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  2. Carlos The Jackal

    Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  3. Sifi Leo

    Je, vijana walioajiriwa serikalini na sekta binafsi wana haki ya kuunda vikundi na kupata mikopo?

    Mh waziri wa Vijana, Nanauke naomba ujibu swali langu hilo maana kuna vikundi vya kutosha sasa vinaomba mikopo na vya watumishi vipo je wanaruhusiwa ? Tujibu tafadhali
  4. Bakulutu

    Mwenye hizi nyimbo za TOT na TamTam tafadhali anibariki

    Tafadhali sana: 1. Bad Bakule akiwa na TamTam wimbo unaitwa Chande( kazi hutaki kufanyabkwa vile kaka ana mali.) 2. Mpende akupendaye - TOT plus
  5. R

    Kesi ya Lisu kesho: Tafadhali chukua tahadhali mtakao kwenda mahakamani. Si ajabu wamejipanga KUUA

    Wito wangu ni huo. Ya 29/10 yanaweza kujirudia. Siwatii woga hapana. HAKUNA WOGA, Chukua tahadhali! Nendeni kwa wingi kwa tahadhali. Kila mtu awe na simu ya kuchukua matukio. Ikitokea wakaua, basi kuwa na ushahidi. MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI MUNGU WETU AWE NA NABII , MTAKATIFU LISU. AMEN
  6. A Father

    Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali!

    Nimepost hapa hapa, Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali! Je umezaliwa tarehe zifuatazo 👇 kama jibu ni 'Ndio' karibu tuunge urafiki? 👉 Mei 21 hadi 31, 👉 Juni 1 hadi 20, 👉 Novemba 22 hadi 30 👉 Desemba 1 hadi 21 Napenda kuconnet na wewe mtajwa hapo juu kwa ajili ya urafiki.
  7. MamaSamia2025

    Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

    Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
  8. Mlalamikaji daily

    Kila la Heri Uganda leo tafadhali tunaomba mtufunge maana vinginevyo Sifa zote zitaenda kwa mama

    Hatutapumua.. Mara mama this mama that.. Uchawa uchawa tu .. Utasikia mama ameiwezesha.. Sijui mama amefanyaje... Uganda please tupo nyuma yenu pigeni hiyo timu ya Sisiemu... Timu ya wauaji.. Watekaji.. Waiba kura.. Uganda ushindi wenu una baraka zote za waliouliwa kinyama tar 29, Ushindi wenu...
  9. The Father of All

    Usaliti na uzalendo huwa sielewi niwelewesheni tafadhali

    Wanaotetea nchi yao wanaitwa majina, wachochezi, waliohongwa, wanaotumiwa na mabeberu, wahaini na kadhalika. Ajabu wanaiibiana kuiuza nchi wanajiita wazalendo,walinzi wa amani, na majina mengine mengi mazuri. Walioko nje wakilalamika wanaitwa mawakala wa mabwana zao. Serikali zikiishi kwa...
  10. R

    BAWACHA epukeni makosa ya kiufundi kwenye matamko yenu tafadhali

    Salaam! Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika. Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji huyo anapoitaka Serikali iwachukulie hatua wote waliohusika na mauaji ya October 29. Serikali huja...
  11. S

    Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

    Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika...
  12. Pakome

    G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  13. 4

    Nimepeza majembe yangu mawili ushauri tafadhali nizike nguo au wenda wakarejea?

    Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu. Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku...
  14. ngara23

    PostGE2025 Msijaribu kuichokoza Serikali ya Marekani tafadhali kuhusu Raia wao kupatikana na mabomu nchini

    Waoneeni size yenu Chadema Huko mnakokwenda sio Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃 Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF? Hayo mabomu...
  15. baz kaiza

    Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  16. Samia atosha tukutane2030

    Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

    Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa. Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja. Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima...
  17. The Father of All

    Falsafa ya Samuya ya uchawa naomba aifahamuye anielimishe hapa tafadhali

    Marehemu John Magufuli alikuja na falsa ya hapa kazi na wanyonge. Samuya alikuja na uchawa na kazi iendelee. Je, hii falsafa inamaanisha nini kwako binafsi kama mdau katika taifa lake?
  18. N

    Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  19. The Father of All

    Tafadhali Samuya na genge lako jifunze toka kwa Omar Bashir na Muamar Gaddafi

    Taifa linajua. Limepoteza watu wengi wasio na hatia. Linajua namna wafadhili wako wanavyojitahidi kukubakiza madarakani. Linajua kila kitu. Ila, kama unajitakia na kulitakia mema taifa, chonde chonde. Jifunze toka kwa watajwa hapo juu. Walifanya kama unavyofanya. Je, waliishaje na kuishia wapi...
  20. Abraham Lincolnn

    Waliopo karibu na ofisi za Tume wanapotangaza huu uchafuzi waingilie kati tafadhali

    Kinachoendelea hapo tume wanapotangaza matokeo ni kama wanajitekenya na kucheka wenyewe, waliopo karibu waende wakasalimie hapo
Back
Top Bottom