tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  2. JamiiForums Tanzania Mama ametutia moyo. Hatuchezi na ninyi Ng'oo mna tabia mbaya hatuchezi na ninyi

    Mama kasema tusicheze na ninyi mikia mna tabia mbaya. Mna tabia chafu hatuchezi na ninyi. Na huko hatuji. Hatutaki mna mchezo mbaya. HATUCHEZI, HATUCHEZI NA HATUCHEZI NA NINYI NG'OOOO HATA MSEMEJE HATUTAKI. HATUCHEZI.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania, rekebisha tabia ya kuandika vitabu kukiri "unyama" mlio watendea wananchi mnapotoka madarakani . Tenda haki muwapo madarakani.

    1. Nyerere alikiri kuwa kosa kubwa alilolifanya ni kumnyonga Mwamwindi 2. Mwinyi................................................ 3. Mkapa akijutia mauaji ya Zanzibar 4. Kikwete.................................................................... 5...
  4. JamiiForums Tanzania Dini za mashetani ni zipi na tabia za kishetani ni zipi

    Haya mawili huwa yana nichanganya kiasi. Mwenye uelewa anisaidie kujua dini za kishetani zinakuwaje na tabia za kishetani ni zipi.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua mpo nao tu mitaani watekeni na wao ili tabia hii ikome

    Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua watekeni na wao ili tabia hii ikome. Hatupaswi kuomba ruhusa kwenye masuala ya kujitetea na usalama wetu kama watekaji mnawajua na wanazidi kuwaangamizieni wapendwa wenu na msaada wa kisheria hampati wala nini watekeni na hao watekaji ili...
  8. JamiiForums Tanzania Je, tabia iliyoibuka kipindi cha kubalehe, ndio upo nayo hadi sasa?

    Muhali gani Wadau; Kiukweli kila mmoja wetu humu na nje ya humu JF alishaipitia hii hatua ktk ukuaji wake, ndio kama ukaribisho wa kuingia kwenye utu uzima. Kila mmoja ana style yake ambayo alibadilika kitabia, Wapo ambao balehe yao iliwatuma Ujeuri, Kiburi, Kujiamini kuliko kawaida, Ubabe, na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tukatae Tabia ya Naamani

    Tukatae Tabia ya Naamani Naamani ni Nani Katika kitabu cha 2Wafalme 5, tunasoma uponyaji wa mtu mmoja aliyeitwa Naamani, aliyekuwa Jemedari wa jeshi la Mfalme wa Shamu. Huyu Naamani alikuwa ni mtu mwenye ukoma ingawa alikuwa shujaa wa vita. Siku moja alienda kutafuta uponyaji kutoka kwa Mungu...
  10. JamiiForums Tanzania Unadhani ungekuwa jinsia tofauti ungekuwa na tabia gani?

    Sometimes to understand others peoples point of view, you have to internalize theirs and then judging them accordingly. kwa mfao we mwanaume ungekua mwanamke, je? usingeomba hela? ungetulia na mwanaume mmoja? ungemvumilia mwanaume asiye na pesa kisha ana gubu? ungemsubiri mtu ambae amefungwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ndo tabia au sifa za kenge

    Baada ya mbunge Taiduna kuwaita Watanganyika " kenge" wa ndani. Wacha tujadili tabia za kenge, usikute kweli sisi Watanganyika ni kenge 1. Kenge ni kiumbe kinapenda kujifananisha na mamba. Hapa mamba na wale wakubwa au machawa bila shaka hili linawakera 2 Kwenye ana kiherehere Licha ya kuishi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ahsanteni
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

    Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ya wabunge kusifia kila jambo inaenda kuleta mgogoro mkali wa kidiplomasia utakaodumu milele kati ya TZ na Kenya

    Habari wakuu Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote Hii hali tulishaizoea, Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu Hivi sasa wabunge...
  15. JamiiForums Tanzania Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania

    Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania

    Rashda naandika Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hufanana tabia na matendo

    Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya. Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja. Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo. Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali. Haw hapa. aung san suu...
  18. JamiiForums Tanzania Tabia ya Lema na heche kuwananga polisi wanaolinda mmikutano yao ikemewe!

    Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu. Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili muwafundishe wanawake wenzenu wenye tabia hii.

    tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu. Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
  20. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Hayati David Msuya; Alikuwa Mwanachama CCM Asiye na Tabia za CCM

    Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya. Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM. Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…