taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Kuanzia April 9, 2026 taasisi yoyote itakayokusanya taarifa binafsi bila kusajiliwa itatozwa faini ya Bilioni 5

    TAASISI zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi nchini zimetakiwa kuhakikisha zinajisajili kabla ya Aprili 8, mwaka huu, vinginevyo zitakabiliwa na hatua kali za kisheria ikiwemo faini ya hadi Sh. bilioni tano. Hatua hiyo inakuja kufuatia kuanza kwa utekelezaji kamili wa Sheria ya...
  2. A

    KERO Taasisi ya TAWA iwafikirie Vijana waongoza watalii (Tour Guides) wanaojitolea muda mrefu bila kupewa ajira

    Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
  3. F

    MAPENDEKEZO: Umuhimu wa Kupunguza Ukubwa wa Serikali ya Tanzania ili Kupunguza Matumizi ya Umma na utitiri wa taasisi

    Serikali ni chombo muhimu katika kusimamia maendeleo ya taifa, kulinda usalama wa raia, na kuhakikisha utoaji wa huduma za kijamii. Hata hivyo, kadri serikali inavyokuwa kubwa kupita kiasi, ndivyo inavyoongeza gharama za uendeshaji, hali inayoweza kuathiri uchumi wa nchi. Kwa muktadha wa...
  4. H

    Waziri Mkuu asisitiza amani, maadili na ushirikiano na taasisi za dini

    WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI ▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini ▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
  5. W

    Sheikh Ponda: Hatujashinda shauri kwa rushwa wala hatukupewa fedha yoyote na taasisi yoyote

    Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
  6. J

    Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
  7. hp4510

    Taasisi Ambazo zinasimamia Ujenzi wa Maghorofa Tanzania Fanyeni kazi

    Wakuu kwema? Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
  8. D

    Hizi taasisi zipo wizara gani?

    Naomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani? 1. BRT - barabara ya mwendokasi 2. SGR 3. MGR 4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM 5. Miundombinu ya reli 6. Barabara kubwa za DSM mfano Morogoro road, Mandela road
  9. DodomaTZ

    KERO Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili shughulikieni kero ya ubovu wa magari ya taasisi

    Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii. Kila tukifuatilia kupata...
  10. Pfizer

    Kwimba: Taasisi ya Alicia Keys yawasili nchini kushiriki uzinduzi wa jengo la watoto njiti

    Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
  11. kiredio Jr

    Inashangaza baadhi ya watumishi kuonesha chuki Kwa wageni katika taasisi

    Inakuwaje watu kuchukizwa Kwa kuona mtumishi mpya ameajiriwa department yao? Mtu umeripoti kazini, baada ya kuanza kazi na kuonesha utendaji mzuri mwanzoni, baadhi ya watumishi wenzako wanaonesha chuki au kuchukizwa kimya kimya na ujio wako. Sasa najiuliza, ni hofu ya competition au wanahisi...
  12. H

    Makamu wa Rais azindua mpango wa ushirikiano kati ya taasisi za elimu na viwanda

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
  13. Lord Denning

    Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  14. A

    KERO Ajira Mpya Bukombe tunasumbuliwa na simu za Taasisi za Mikopo wakati hatujawapa namba wala kuomba mikopo

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye taasisi yao na wakati huo sijawahi kwenda kwenye ofisi zao hata mara moja. Tunajua pengine biashara...
  15. ERTUGRUL BEY

    Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  16. N'yadikwa

    Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  17. Mto wa mbu

    Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

    Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC. Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant. Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na...
  18. blogger

    Kitendo Cha Rais Samia kutotaka watu/viongozi wawe na maoni kinzani kinaenda athiri taasisi na idara zote za kiserikali

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze Kwa masikitiko makubwa Kwa Taifa kufika hapa lilipo fika. Hivi kama ni kweli Yale maoni ya G. Simbachawene ndio yamesababishwa atolewa nyadhifa yake , je! Ni nani Sasa ataweza kuja tena mbele ya vyombo vya habari na kuwa na mtazamo hasi. Yani ni kwamba...
  19. Nangose 1

    Kwanini Taasisi za Serikali ambazo ni Autonomous hazitoi nafasi za kazi..?

    Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia. Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine...
  20. R

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Mzee Butiku inapoteza hadhi yake!

    Hii Taasisi inakwenda kupoteza hadhi yake. Inaongozwa na chawa kachara. Matamshi yake ya juzi yanaivua nguo taasisi acha yeye mwenyewe anakuwa "takataka"! Kupoteza heshima yake kubwa aliyoijenga for decades! Haongelei matatizo makubwa ya utawala wa Samia, mauaji ya watu on 29, na mengine...
Back
Top Bottom